cacutee
JF-Expert Member
- Apr 9, 2024
- 1,333
- 3,512
Nina wapenz JF ambao hatujawah meet liveWew hujawai liwa kumbe
Wamenila kwa Bluetooth
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nina wapenz JF ambao hatujawah meet liveWew hujawai liwa kumbe
Jitahidi ukiwa kijana tajiri tutafutane nkupe mbinu za ku maintain utajiri wakoSawa bhana
Upo mkoa upi tuanzie hapoNina wapenz JF ambao hatujawah meet live
Wamenila kwa Bluetooth
We jifanye umevulugwa tu jichetue akiliHUnijui hata mie so keep come my dear keep it .
Huu ni uongoo bhana, humu wote sio matajiri hata ma jobless pro max tumo.Wewe ni Kijana masikini halafu humu wote ni matajiri tafuta hela kwanza
Ntumie notesSiruki kurasa Kamanda.😂
Kisiwa cha mafiaUpo mkoa upi tuanzie hapo
Ndiyo maana aisee upo mbali.Kisiwa cha mafia
Mzee ukimya uwa ni solution nzuri na potezea mkuuWe jifanye umevulugwa tu jichetue akili
Af kuna mda nazama ndani ya bahari miez hata 7 kwenda kuwasalimia babu zangu... Sasa wakati huo mawasiliano yanakataNdiyo maana aisee upo mbali.
vipi wewe Usha wahi pata pia 🤣😂utateseka hadi lini?
😅😅😅😅😅😅 nimecheka kifala eti wote matajiri yeye pekee ndo maskini.
Af ww haya bwana
Msemaji mkuu wa chama ni naniHuu ni uongoo bhana, humu wote sio matajiri hata ma jobless pro max tumo.
Mimi Intelligent businessman ni raisi wa chama cha ma jobless pro max, makamu ni Bolotoba,
katibu ni min -me, wakili wa ma jobless ni Selikavu, waziri wa mambo ya ndani Thecoder, msajili wa chama Cha ma jobless ni dosho12, mratibu wa mipango ni Edo kissy
Kidumu chama Cha ma jobless pro max
View attachment 3231007
Kidumu,Huu ni uongoo bhana, humu wote sio matajiri hata ma jobless pro max tumo.
Mimi Intelligent businessman ni raisi wa chama cha ma jobless pro max, makamu ni Bolotoba,
katibu ni min -me, wakili wa ma jobless ni Selikavu, waziri wa mambo ya ndani Thecoder, msajili wa chama Cha ma jobless ni dosho12, mratibu wa mipango ni Edo kissy
Kidumu chama Cha ma jobless pro max
View attachment 3231007
Hapana sitaki ata Mimi