Wenye wapenzi (wanawake) humu JF mliwezaje kuwapata?

Kwa Chalamila hukuuu ... Ila nataka kupakimbia ... Nisipopata msaada wa Rais wa Majobless

Tanga kwetu narudiaa sijauaaaa mie
Nakusihi kaka usiondoke dsm mimi Nina mwezi tu tangu nmeondoka dsm nilikua naishi karibu na riverside
Sasa mkuu inaweza Ila kuchukua Ata miaka mitano kuwa stable Ila usikate tamaa
 
Nakusihi kaka usiondoke dsm mimi Nina mwezi tu tangu nmeondoka dsm nilikua naishi karibu na riverside
Sasa mkuu inaweza Ila kuchukua Ata miaka mitano kuwa stable Ila usikate tamaa
Ulivyosema karibu na riverside nimecheka sana ... Nimewaza ujinga!

All in all, Asante kwa kunitia moyo mkuu! Naomba niishi kwenye ushauri wako!

Ninaamini Mungu anaweza akatenda jambo
 
Ulivyosema karibu na riverside nimecheka sana ... Nimewaza ujinga!

All in all, Asante kwa kunitia moyo mkuu! Naomba niishi kwenye ushauri wako!

Ninaamini Mungu anaweza akatenda jambo
Point tatu za msingi
1.start small
2.aim higher
3.learn from the mistakes
Bonus point
ruksa kuumia kidogo nafsini lakini Marufuku ku-retreat
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…