makutupora
JF-Expert Member
- Jul 7, 2015
- 2,089
- 4,086
Hujui hata makamu wako yupo wapiii ila RAIS WA MAJOBLESS PROMAX bhanaUko mwanza??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hujui hata makamu wako yupo wapiii ila RAIS WA MAJOBLESS PROMAX bhanaUko mwanza??
Ulikuwa Dodoma kwenye ku pruning ukaninyima kaziHivi upo serias
Uko mwanza??
Kama mimi mwenyewe sielewi nalala sangapi, why niingilie mambo ya watu 😂😂Hujui hata makamu wako yupo wapiii ila RAIS WA MAJOBLESS PROMAX bhana
Hawapy mkuu mimi sio mchoyo Ata kidogo Ila ni mtu ambae siwez kusettle. Sehemu moja kwa hiki kipindi cha ujoblessUlikuwa Dodoma kwenye ku pruning ukaninyima kazi
Leo mwanza pia unataka kunikimbia au una Ajenda ya kumpindua Rais wa majobless promax
Lazima ujue Makamu yupo wapi yamkini waweza kupita alipo mkapeana ABC za ChamaaKama mimi mwenyewe sielewi nalala sangapi, why niingilie mambo ya watu 😂😂
Nikija mwanza ntakuchekiiiHawapy mkuu mimi sio mchoyo Ata kidogo Ila ni mtu ambae siwez kusettle. Sehemu moja kwa hiki kipindi cha ujobless
Where are you located mzazi? No need to hide mzeeNikija mwanza ntakuchekiii
.. things are getting hot and tough oner here!
Kuzoea zoea watu mwisho uta zoea majini😂😂Lazima ujue Makamu yupo wapi yamkini waweza kupita alipo mkapeana ABC za Chamaa
Sasa unaogopa majini? Tanga tunakunywa nayo kahawa!Kuzoea zoea watu mwisho uta zoea majini😂😂
halafu pisi zangu vipi?!Sasa unaogopa majini? Tanga tunakunywa nayo kahawa!
Jobless haogopii kitu mamaaae 😂
Kwa Chalamila hukuuu ... Ila nataka kupakimbia ... Nisipopata msaada wa Rais wa MajoblessWhere are you located mzazi? No need to hide mzee
Mh. Rais unajua chochote ambacho ni senstivuuuu Huwa Mimi naendagana nacho kwa makini sana!halafu pisi zangu vipi?!
Nakusihi kaka usiondoke dsm mimi Nina mwezi tu tangu nmeondoka dsm nilikua naishi karibu na riversideKwa Chalamila hukuuu ... Ila nataka kupakimbia ... Nisipopata msaada wa Rais wa Majobless
Tanga kwetu narudiaa sijauaaaa mie
Kuwa mvumilivu, tuombe kheri. peleka cv yako kwa anko Mshana Jr ana weza fanya kitu.Kwa Chalamila hukuuu ... Ila nataka kupakimbia ... Nisipopata msaada wa Rais wa Majobless
Tanga kwetu narudiaa sijauaaaa mie
Ulivyosema karibu na riverside nimecheka sana ... Nimewaza ujinga!Nakusihi kaka usiondoke dsm mimi Nina mwezi tu tangu nmeondoka dsm nilikua naishi karibu na riverside
Sasa mkuu inaweza Ila kuchukua Ata miaka mitano kuwa stable Ila usikate tamaa
Sawa sawa Rais wangu .... NimekuelewaaKuwa mvumilivu, tuombe kheri. peleka cv yako kwa anko Mshana Jr ana weza fanya kitu.
Point tatu za msingiUlivyosema karibu na riverside nimecheka sana ... Nimewaza ujinga!
All in all, Asante kwa kunitia moyo mkuu! Naomba niishi kwenye ushauri wako!
Ninaamini Mungu anaweza akatenda jambo
RUKRA KUUMIA KIDOGO NAFSINI LAKINI MARUFUKU KU RETREATPoint tatu za msingi
1.start small
2.aim higher
3.learn from the mistakes
Bonus point
ruksa kuumia kidogo nafsini lakini Marufuku ku-retreat
Pombe si tumeacha lakini!!Sina hela ya pombe na mwanamke, shindikanaa.