Tajiri Sinabay
JF-Expert Member
- Dec 25, 2024
- 1,333
- 3,619
- Thread starter
- #141
Kwani huku kuna kuombana hela?Ngoja waje single girls...ila hio username yako labda ubadilishe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani huku kuna kuombana hela?Ngoja waje single girls...ila hio username yako labda ubadilishe
unique angekuwepo angekufaaOkey
utateseka hadi lini?Sijui nikazie
Njoo nikukonekti na shindikana mwenzio, awe anakukemea mapepo taratibu taratibu.Mimi humu ni mlevi mmoja siwezi pata mtu asee.
Sina hela ya pombe na mwanamke, shindikanaa.Njoo nikukonekti na shindikana mwenzio, awe anakukemea mapepo taratibu taratibu.
Semaji la majobless pro max,I don't trust in love brother!
Siamini kama Kuna mwanamke mwenye anaweza kuendana na ndoto na maono niliyo nayo ... Si kama hawapo! Ila Sijakipa Kipaumbele hicho kitu!
Maisha ni muda!
Maisha ni Nyakati!
Maisha ni hadithi!
Siwezi ku mingo na mwanamke just for sex, siwezi ku pretend ... Maana NACHUKIA kuwa sehemu ya maumivu na majonzi katika maisha ya watu wengine!
Nilishaumiza mioyo ya wadada huko nyuma kwa Sababu ya ubinafsi wangu na tamaa tu ya sex! ... Nikajifunza!
I enjoy kuishi kama frateriii 😂!
Life linasonga!
Sikujiumbaaa!
Sikutumia maombi ya kumuomba anilete duniani!
So kama katika kusudi alilonipa kulitimiza hapa duniani kabla sijafa! Litahitaji niwe na mke atanipa tu kwa wakati wake!
Kama halihitaji mke, fresh pia!
As long as unajipenda mwenyewe inatosha sanaSina hela ya pombe na mwanamke, shindikanaa.
Kwamba utafungiwa?Huu Uzi usiposhika Petrol mbeleni huko sijui ?
Mana naona ID za kijasusi zinatinga jamvini.
OyaaaHumu JF hamna mademu wa uhakika wengi midume ya sinza.
Kama umeshindwa kupata demu mtaani kwenu humu jitulize utaingizwa cha kike
EwaaaaaaahSemaji la majobless pro max,
Bonge la comment😂 umetusemea mkuu .
I appreciate multicultural society of JF, hapa ndyo nimepata wife na finally tuna wajukuuTupeane uzoefu wakuu, inauma sana unaweka chapisho lako kuhusu mambo ya kilimo mtu anakuja kuchati na demu wake, mara mashemeji, mara mawifi, hivi hawa mademu zenu muliwapataje muliwa aprochi kijeiefu jeiefu au ilikuwaje hadi mukawapata?
Mwisho kabisa kama kuna demu munajuwa yuko singo humu nishtueni nianze kumlia doria.
😂 Barikiwa sanaaEwaaaaaaah
Nitawasemea Mpk Mbinguni 🤣
Sasa je..mtu akuite baby siku nzima kwa bando lake ..thubutuuKwani huku kuna kuombana hela?
Kwahiyo isipovutia ndiyo stori itakuwa mbovu, wewe subiriTitle tu haivutii
Na kipi mkuuutateseka hadi lini?
Loh!Sasa je..mtu akuite baby siku nzima kwa bando lake ..thubutuu