Wenye wapenzi (wanawake) humu JF mliwezaje kuwapata?

Tupeane uzoefu wakuu, inauma sana unaweka chapisho lako kuhusu mambo ya kilimo mtu anakuja kuchati na demu wake, mara mashemeji, mara mawifi, hivi hawa mademu zenu muliwapataje muliwa aprochi kijeiefu jeiefu au ilikuwaje hatakuwa adi mukawapata?

Mwisho kabisa kama kuna demu munajuwa yuko singo humu nishtueni nianze kumlia doria.
Mchawi wako litakuwa jina lako, anza kulikomboa Kwa maombi kwanza 😂😂😂
 
Tupeane uzoefu wakuu, inauma sana unaweka chapisho lako kuhusu mambo ya kilimo mtu anakuja kuchati na demu wake, mara mashemeji, mara mawifi, hivi hawa mademu zenu muliwapataje muliwa aprochi kijeiefu jeiefu au ilikuwaje hadi mukawapata?

Mwisho kabisa kama kuna demu munajuwa yuko singo humu nishtueni nianze kumlia doria.
Wale wanaoleta matangazo humu, sometimes huambulia matusi, kejeli wengi wao huwa serious.
 
Tupeane uzoefu wakuu, inauma sana unaweka chapisho lako kuhusu mambo ya kilimo mtu anakuja kuchati na demu wake, mara mashemeji, mara mawifi, hivi hawa mademu zenu muliwapataje muliwa aprochi kijeiefu jeiefu au ilikuwaje hadi mukawapata?

Mwisho kabisa kama kuna demu munajuwa yuko singo humu nishtueni nianze kumlia doria.
Eeeeeh aaahyaaah 🏃🏻‍➡️ 🏃🏻‍➡️ 🏃🏻‍➡️ 🏃🏻‍➡️ 🏃🏻‍➡️
 
Back
Top Bottom