Tajiri Sinabay
JF-Expert Member
- Dec 25, 2024
- 1,333
- 3,619
- Thread starter
- #321
Kigezo kipi hiko mkuukuna wadada wazuri sana humu,
ila sipendeki(kuna vigezo muhimu nakosa)
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kigezo kipi hiko mkuukuna wadada wazuri sana humu,
ila sipendeki(kuna vigezo muhimu nakosa)
Mchawi wako litakuwa jina lako, anza kulikomboa Kwa maombi kwanza 😂😂😂Tupeane uzoefu wakuu, inauma sana unaweka chapisho lako kuhusu mambo ya kilimo mtu anakuja kuchati na demu wake, mara mashemeji, mara mawifi, hivi hawa mademu zenu muliwapataje muliwa aprochi kijeiefu jeiefu au ilikuwaje hatakuwa adi mukawapata?
Mwisho kabisa kama kuna demu munajuwa yuko singo humu nishtueni nianze kumlia doria.
naam, hivyo vigezo ulivyo kosa, mimi nili kosa Mara 10 yake😂🤣kuna wadada wazuri sana humu,
ila sipendeki(kuna vigezo muhimu nakosa)
Duh! Alikuwa akinitag sana wakati naanza kuingia humu jf ila majibu yake kwenye machapisho ndiyo ikawa yananipa mkanganyikonaye ni mchicha mwiba
Afu siku hizii unanitenga sana mkuu! 😂😂Mimi sio tajiri Leo tu nimeombwa 50k ya valentine nimepata homa
Wale wanaoleta matangazo humu, sometimes huambulia matusi, kejeli wengi wao huwa serious.Tupeane uzoefu wakuu, inauma sana unaweka chapisho lako kuhusu mambo ya kilimo mtu anakuja kuchati na demu wake, mara mashemeji, mara mawifi, hivi hawa mademu zenu muliwapataje muliwa aprochi kijeiefu jeiefu au ilikuwaje hadi mukawapata?
Mwisho kabisa kama kuna demu munajuwa yuko singo humu nishtueni nianze kumlia doria.
Fala si wewengoja nikaze Mimi, nyie msha zoea ku kaziwa tu 😂
mimi hata mchumba sina 😂😂Mimi sio tajiri Leo tu nimeombwa 50k ya valentine nimepata homa
Jichanganye, uishie kupostiwa na mishumaaFala si wewe
Matangazo ya kutafuta wapenzi!Wale wanaoleta matangazo humu, sometimes huambulia matusi, kejeli wengi wao huwa serious.
Jero jero 100🥲🤤Afu siku hizii unanitenga sana mkuu! 😂😂
Sisi ni ndugu tusifanyiane ivooo ... Makamu usiweke kimya sanaaaa kiasi cha kushindwa kunishtuaaaa
Nimeliaaaa sana kusikia umeombwa afuuu hamsiniiiiii 🥹🥹🥹😭
Eeeeeh aaahyaaah 🏃🏻➡️ 🏃🏻➡️ 🏃🏻➡️ 🏃🏻➡️ 🏃🏻➡️Tupeane uzoefu wakuu, inauma sana unaweka chapisho lako kuhusu mambo ya kilimo mtu anakuja kuchati na demu wake, mara mashemeji, mara mawifi, hivi hawa mademu zenu muliwapataje muliwa aprochi kijeiefu jeiefu au ilikuwaje hadi mukawapata?
Mwisho kabisa kama kuna demu munajuwa yuko singo humu nishtueni nianze kumlia doria.
Shtuka ww utaibiwa umu hamna mwanamke ata mmoja 🤣
Ata wakiwemo ni wale sura ya baba hawafai kwa namna yoyote ile si kwa ndoa wala kugegeda hawafaiiiiii
Atajuaje anayemfit?Usiogope kukataliwa mkuu we tongoza yoyote unaeona anakufit.
Afuuu hamsiniiii ni hela nyingiiiii! Yaaani nimeliaaaa sanaaa ... Kumbe wadada ni makatili ivoo!Jero jero 100🥲🤤
Vitaje tujue tujipange vipi mkuu😂😂
nyie fanyeni mambo ya maana tu, hivyo vitu vitakuja vyenyewe.Kigezo kipi hiko mkuu
Kuwa makini kuna dumu la petroli linazidi kuvuja.Ntumie notes
Hata huyu Tundazuri ni walewaleDuh! Alikuwa akinitag sana wakati naanza kuingia humu jf ila majibu yake kwenye machapisho ndiyo ikawa yananipa mkanganyiko
We jichanganyeJichanganye, uishie kupostiwa na mishumaa
Nimekupata mkuu✊🏿nyie fanyeni mambo ya maana tu, hivyo vitu vitakuja vyenyewe.
najua nyie ni vijana wadogo kabisa under 25
mpende kufuatilia na mada ngumu(siasa, uchumi nk) mapenzi mapenzi muache