makutupora
JF-Expert Member
- Jul 7, 2015
- 2,089
- 4,086
Nipe namba zakee nimemseee huyo muomba afu hamsiniiiiii 🥹Babu sijakutenga ni shida tu za utafutaji hapa sahivi Nina sku nne napiga deiwaka ya kupiga rangi najifunza kwa braza angu expert mwanangu kwahyo Ata kushika simu ni terrible mzee Ila ndo hvo nimeomba fifty nikatia unyonge
Niombee deiwaka basi nije nipige rangiiii