Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asante saana na mungu anaendelea kutusaidiaWanaume wasiochepuka wako wengi tu kwenye jamii sema hawazungumziwi sana kama wale wanaochepuka. Niwapongeze sana kwa kujitambua na kuheshimu agano la Ndoa
Kuchepuka haiji bila sababu so dont be so fool to that,Ndio ukweli huo. Wenye akili wanajua kuchepuka sio dili
Nyie ndo mnaotengeneza watoto waliolelewa vyema hapo baadae ambao watakuwa wachache sana.Njia kuu ndo sahihi, simu yangu haina password, yeye hana Facebook wala instangram anatumia zangu yeye ndo admin yeye ana what's up ambayo mimi huitembelea muda wote. Mipango yetu ya maisha tunaifanya pamoja for 13yrs now! Wanatuita mapacha. Sio kwamba hatukwaruzani lkn nikiona Sababu ni Mimi na keep down low. Tunakwaruzana sana tukiwa barabarani yeye hapendi niendeshe kwa spidi. Safari inaweza ikawa chungu mpaka tunakofika. Mpe yeye sasa aendeshe yaani spidi, breki za ghafla ni vituko tu. Uvumilivu anahitajika
Make your partner be your best friend ever that has postive results to overcome cheating gamesNjia kuu ndo sahihi, simu yangu haina password, yeye hana Facebook wala instangram anatumia zangu yeye ndo admin yeye ana what's up ambayo mimi huitembelea muda wote. Mipango yetu ya maisha tunaifanya pamoja for 13yrs now! Wanatuita mapacha. Sio kwamba hatukwaruzani lkn nikiona Sababu ni Mimi na keep down low. Tunakwaruzana sana tukiwa barabarani yeye hapendi niendeshe kwa spidi. Safari inaweza ikawa chungu mpaka tunakofika. Mpe yeye sasa aendeshe yaani spidi, breki za ghafla ni vituko tu. Uvumilivu anahitajika
Njia kuu ndo sahihi, simu yangu haina password, yeye hana Facebook wala instangram anatumia zangu yeye ndo admin yeye ana what's up ambayo mimi huitembelea muda wote. Mipango yetu ya maisha tunaifanya pamoja for 13yrs now! Wanatuita mapacha. Sio kwamba hatukwaruzani lkn nikiona Sababu ni Mimi na keep down low. Tunakwaruzana sana tukiwa barabarani yeye hapendi niendeshe kwa spidi. Safari inaweza ikawa chungu mpaka tunakofika. Mpe yeye sasa aendeshe yaani spidi, breki za ghafla ni vituko tu. Uvumilivu anahitajika
Depends on many factors vanilla wanguAah wapi ni uamuzi tu.