Wenye wapenzi/waume wasiochepuka tukutane hapa

Wenye wapenzi/waume wasiochepuka tukutane hapa

Dhambi kuu niliyonayo ni kuchepuka.

Gari tu likiishiwa mafuta ghafla linachepuka itakuwa mimi.

Mniombee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Not a man not a woman anetaka kuchepuka bila sababu sasa sababu huwa zinakua ni nyingi,sio mpaka kila mtu tujisifie hapa kuwa hatujawahi kuchepuka ila tupo wengi tu na sio mpaka to bring our story out to public....lets not point out fingers to the cheaters
 
Wanaume wasiochepuka wako wengi tu kwenye jamii sema hawazungumziwi sana kama wale wanaochepuka. Niwapongeze sana kwa kujitambua na kuheshimu agano la Ndoa
Tunashukuru mmetukumbuka aisee.
 
Not a man not a woman anetaka kuchepuka bila sababu sasa sababu huwa zinakua ni nyingi,sio mpaka kila mtu tujisifie hapa kuwa hatujawahi kuchepuka ila tupo wengi tu na sio mpaka to bring our story out to public....lets not point out fingers to the cheaters

No one is pointing fingers! It’s simply to acknowledge and appreciate the faithfull ones. Anayechepuka anaamua mwenyewe nothing has ever been a justification for cheating.
 
No one is pointing fingers! It’s simply to acknowledge and appreciate the faithfull ones. Anayechepuka anaamua mwenyewe nothing has ever been a justification for cheating.
Omba sana upate mtu atakae kuwa zaidi ya mume .....naona kuna vitu bado hujavijua kwanza wewe upo kwenye ndoa msema kweli kipenzi cha Mungu
 
kweli tusio chepuka tupo sana tuu, leo tarehe 8 nimwaka wa 2 wa ndoa yetu, na sijawahi kuchepuka japo safari ni ndefu na wazuri wako wengi na wenye mitego mingi lakini naamini kwangu watagonga mwamba, wakati fulani mwenzangu alikua mzazi so tulikaa karibu mwaka mmoja bila kukutana na hanma shida yoyote ilio tupata, maadam tunategemea mwongozo wa Neema ya Mungu hatuna wasiwasi.
 
Omba sana upate mtu atakae kuwa zaidi ya mume .....naona kuna vitu bado hujavijua kwanza wewe upo kwenye ndoa msema kweli kipenzi cha Mungu

Nimeshampata and Iam very grateful.Experience ya mtu mwingine isikufanye kugeneralise mambo. Each relationship is unique. The only thing that makes us think that there are no faithful people out there is because we only hear of the negative side of it.
 
Back
Top Bottom