vanilla
JF-Expert Member
- Apr 19, 2012
- 448
- 357
- Thread starter
- #41
kweli tusio chepuka tupo sana tuu, leo tarehe 8 nimwaka wa 2 wa ndoa yetu, na sijawahi kuchepuka japo safari ni ndefu na wazuri wako wengi na wenye mitego mingi lakini naamini kwangu watagonga mwamba, wakati fulani mwenzangu alikua mzazi so tulikaa karibu mwaka mmoja bila kukutana na hanma shida yoyote ilio tupata, maadam tunategemea mwongozo wa Neema ya Mungu hatuna wasiwasi.
👏🏽👏🏽👏🏽👏🏽