Njia kuu ndo sahihi, simu yangu haina password, yeye hana Facebook wala instangram anatumia zangu yeye ndo admin yeye ana what's up ambayo mimi huitembelea muda wote. Mipango yetu ya maisha tunaifanya pamoja for 13yrs now! Wanatuita mapacha. Sio kwamba hatukwaruzani lkn nikiona Sababu ni Mimi na keep down low. Tunakwaruzana sana tukiwa barabarani yeye hapendi niendeshe kwa spidi. Safari inaweza ikawa chungu mpaka tunakofika. Mpe yeye sasa aendeshe yaani spidi, breki za ghafla ni vituko tu. Uvumilivu anahitajika