Leonardchama7
JF-Expert Member
- Apr 14, 2018
- 2,963
- 4,027
Asante maana leo nasi tumekumbukwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Basi wanaume wote ni maboya. Huu ndio ukweli. Tunajivunia kuwa maboya. Nasisitiza, hao wanaume sio kuwa hawachepuki ila wamewazidi akili.Boya ni anayechepuka 😷.
Hata ktk mahusiano kuchepuka sio jambo zuri kabisa....tatizo huja pale mwanamke akijua unaye yy tu yaan kwake umetuliza boli ndio huanza kucheza sarakasi za kina Donnie yen hadi utashangaa...niliwah kumpenda demu fln yaan kumpenda haswa na wadada wengne sikuwa na time nao kabisa nayy alilijua hili ,simu ilikuwa kama yake vile,tukinunua nguo tunavaa za same color yaan everything we were doing as twins, ila siku aliponiacha ndio nikajua nini madhara ya kuwa na one choice in life...it was hard for me yo forget na saiv nishapata mwingne ila mchepuko ukikatiza sidengui kabisa kama zamani...
Mapenz yaacheni tu siku yakikukuta kwa mty uliyemuona kama pacha wako you will lose trust kabisa....unaweza kuua pia
Basi wanaume wote ni maboya. Huu ndio ukweli. Tunajivunia kuwa maboya. Nasisitiza, hao wanaume sio kuwa hawachepuki ila wamewazidi akili.
Wasiochepuka KWA MUDA wapo ila wanapumzika na kuvuta pumzi tu, wakiliamsha dude kazi inaendelea kama kawa.🤣🤣🤣sio wote, huoni wasiochepuka wapo pia? Tukubali tu kwamba wasiochepuka wapo na sio kwamba wametuzidi akili. Wanajiheshimu na huo ndio uanaume.
Wasiochepuka KWA MUDA wapo ila wanapumzika na kuvuta pumzi tu, wakiliamsha dude kazi inaendelea kama kawa.
Uanaume sio kuwa na mwanamke mmoja. Huwezi ukawa mwanume alafu uko kinyume na hisia za kianaume. Huo sio uanaume.
Inasikitisha sana maneno kama haya kutoka kwa mwanaume ambaye ametajwa kama ndio kichwa cha familiaOhhh this is so sweet, i love this so much....mwanamke unaweza mfanya mume wako akawa amesimama na wewe tu au pia ukamfanya cheat...katika ndoa a key player here is a woman.
Naunga mkono hoja, ni heri uamini anachepuka kumbe hachepuki kuliko uamini hachepuki halafu uje umfumanie!Mkuu Amenioa 18 yrs Ago lakini still simchukulii dhanama,nna 7kids na yeye lakini narudia tena simchukulii dhanana, sijawahi kumfumania ila simchukuliii dhanama kama hawezi ku cheat,mwanamme mpe chochote unachokijua wewe anaweza kufata kitu mpaka ukashangaa ilikuwaje.
Si kweli mkuuMwanamke anayeamini kuwa mwanaume wake hachepuki basi ana akili iliyoganda. Kimsingi kuchepuka ni asili ya wanaume waliokamilika. Mm tangu nimeanza kukaa na wadau mitaani hakuna hata mmoja ayeleta habari za kuwa yeye ni mwaminifu kwenye ndoa yake. Nawashangaa wanaume humu wanavyojikoki kuwa siyo wachepukaji kwa kuwa wamejificha kwa ID zisizojulikana. Lakini kimsingi hakuna kiumbe chenye asili ya kiume kilichoumbwa kiwe na jike moja. Kila sehemu wanaume wamekuwa wakionekana kutoridhika na mwanamke mmoja hata iwe makanisani mambo ni yale yale.
"kupanga ni kuchagua"
Siwezi kuingia akilini mwako ila siwezi kukubaliana na wewe 100% Kuna watu wanajiheshimu, wanajiamini na wanathamini familia zao kuliko huko chini. Sawa ni wachache lakini wachache hao yawezekana wa kwako akawa mmoja wapo.
Unaambatana na wenzako wenye akili kama zako thats why mpo na mawazo sawaMwanamke anayeamini kuwa mwanaume wake hachepuki basi ana akili iliyoganda. Kimsingi kuchepuka ni asili ya wanaume waliokamilika. Mm tangu nimeanza kukaa na wadau mitaani hakuna hata mmoja ayeleta habari za kuwa yeye ni mwaminifu kwenye ndoa yake. Nawashangaa wanaume humu wanavyojikoki kuwa siyo wachepukaji kwa kuwa wamejificha kwa ID zisizojulikana. Lakini kimsingi hakuna kiumbe chenye asili ya kiume kilichoumbwa kiwe na jike moja. Kila sehemu wanaume wamekuwa wakionekana kutoridhika na mwanamke mmoja hata iwe makanisani mambo ni yale yale.
"kupanga ni kuchagua"