Wenye wapenzi/waume wasiochepuka tukutane hapa

Nyie ndio mnaotuchosha na nyuzi za kulalamika kusalitiwa na wanawake wenu. Kisa kujifanya kunyenyekea wake zenu. Hamjui mbinu za kuishi na wanawake.
Unaambatana na wenzako wenye akili kama zako thats why mpo na mawazo sawa
 
Nyie ndio mnaotuchosha na nyuzi za kulalamika kusalitiwa na wanawake wenu. Kisa kujifanya kunyenyekea wake zenu. Hamjui mbinu za kuishi na wanawake.
Acha bas, kwa taarifa yako wanawake wanaanza kuwashwa na kuchepuka wakishajua mumewe anachepuka
 
Back
Top Bottom