Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 40,905
- 86,203
Hahahahahaha nacheka umesema wa mtoto kiume anapenda wasichana na unapenda kuona akikua atakavyokuwa anawala....hapo hapo unasema kuna katoto ka kike kanapenda wanaume ndio nikasema hako nako kakikua utapenda ukaona kanavyopenda wanaume?Ndio unamtabiria mtoto nini hiyoo
Mdogo wangu sasa unanifumba na kunitusi bwana .Ukitoa wazazi watu pekee wanaokuombea mafanikio ni wezi.
kama ni mtu mzima utaelewa.
Wakike ni tofauti bhana๐๐๐Hahahahahaha nacheka umesema wa mtoto kiume anapenda wasichana na unapenda kuona akikua atakavyokuwa anawala....hapo hapo unasema kuna katoto ka kike kanapenda wanaume ndio nikasema hako nako kakikua utapenda ukaona kanavyopenda wanaume?
Hahahahahaha hapo unakosea sasa RafikiWakike ni tofauti bhana๐๐๐
Huyo dogo lazima ni msukumaNi kawaida mkuu. Mimi wa kwangu alikuwa analilia wadada weupe๐๐๐. Yaani ukiwa mweupe tu umempata. Wanambeba ila wakifanya kama kuondoka nae au mimi nijidai kuondoka analia. Nasubiri awe mkubwa nione kama ndio wanawake atakaowapenda (weupe).
Mtoto wakike anatakiwa asubiri apendwe sio kupenda penda tu.Hahahahahaha hapo unakosea sasa Rafiki
Hahahahahaha si kaanza kupenda na kupendwa toka udogoniMtoto wakike anatakiwa asubiri apendwe sio kupenda penda tu.
Kuna shida ndaniHivi imewahi kuwatokea mtoto wenu mdogo kamkazania au kumng'ang'ania a stranger ambaye hamjui kamuona tu ila fasta anamkazania hata kumlilia?
Wangu huyu. Ukishakua na jinsia ya kiume tena uwe mweusi kama baba yake baaso utambeba hado atalalaNi kawaida mkuu. Mimi wa kwangu alikuwa analilia wadada weupe๐๐๐. Yaani ukiwa mweupe tu umempata. Wanambeba ila wakifanya kama kuondoka nae au mimi nijidai kuondoka analia. Nasubiri awe mkubwa nione kama ndio wanawake atakaowapenda (weupe).
Watoto ni changamoto sana yaani๐๐๐๐hapo huwa wanakataa hadi bibi zao ila babu freshWangu huyu. Ukishakua na jinsia ya kiume tena uwe mweusi kama baba yake baaso utambeba hado atalala
Ila jinsia za kike hata wifi zangu au wadogo zangu hataki wamguse
Hii tabia ya kwenda kwa watu na kuanza kuvamia vitoto vya watu kuonesha mapenzi hata zaidi ya wanao nyumbani ni tabia mbaya sanaWangu huyu. Ukishakua na jinsia ya kiume tena uwe mweusi kama baba yake baaso utambeba hado atalala
Ila jinsia za kike hata wifi zangu au wadogo zangu hataki wamguse
Unasema "masiala" kuna utani hapo, wewe hujui msemo wetu waswahili kuwa dua mbaya haombewi mtoto!Kama nakuona ulivyofunga macho kunikemea kwa hilo jina
Kuwa na amani ndugu ni masiala tu hayo .
Hiyo ni psychological issue hususani kwa hizi jinsia zetu , mimi mwenyewe nikiwa mdogo nilitokea kumpenda mdada mtu mzima kiasi cha kuwa na wivu naye , nasimuliwa hivyo japo kwasasa nikimuona hata sikumbuki lolote
Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app