Wenye watoto wadogo

Wenye watoto wadogo

Ndio unamtabiria mtoto nini hiyoo
Hahahahahaha nacheka umesema wa mtoto kiume anapenda wasichana na unapenda kuona akikua atakavyokuwa anawala....hapo hapo unasema kuna katoto ka kike kanapenda wanaume ndio nikasema hako nako kakikua utapenda ukaona kanavyopenda wanaume?
 
Wakike ni tofauti bhana😂😂😂
 
Ni kawaida mkuu. Mimi wa kwangu alikuwa analilia wadada weupe😂😂😂. Yaani ukiwa mweupe tu umempata. Wanambeba ila wakifanya kama kuondoka nae au mimi nijidai kuondoka analia. Nasubiri awe mkubwa nione kama ndio wanawake atakaowapenda (weupe).
Huyo dogo lazima ni msukuma
 
Hivi imewahi kuwatokea mtoto wenu mdogo kamkazania au kumng'ang'ania a stranger ambaye hamjui kamuona tu ila fasta anamkazania hata kumlilia?
Kuna shida ndani

Mtoto hapati upendo sahihi kwa wazazi wake wawili,nasisitiza "wazazi wake wote wawili"

Any reaction from a toddler has a meaning,mpeni upendo kupita maelezo,atawaona heros na hatakaa awe obsessed na mtu mwingine yeyote

Atakuja kua independent and very articulate
 
Ni kawaida mkuu. Mimi wa kwangu alikuwa analilia wadada weupe😂😂😂. Yaani ukiwa mweupe tu umempata. Wanambeba ila wakifanya kama kuondoka nae au mimi nijidai kuondoka analia. Nasubiri awe mkubwa nione kama ndio wanawake atakaowapenda (weupe).
Wangu huyu. Ukishakua na jinsia ya kiume tena uwe mweusi kama baba yake baaso utambeba hado atalala

Ila jinsia za kike hata wifi zangu au wadogo zangu hataki wamguse
 
Ni kosa mgeni kua over charming na very close to mtoto wa mtu

Ni marufuku kumpa zawadi

Omba ruhusa kwa wazazi wakubali ndio umpe zawadi

Ni marukufuku kua karibu na mtoto wa mwanadamu mwingine bila ruhusa ya wazazi husika

Huu ni upumbavu wa kujitia unapenda watoto wa wengine kumbe ajenda ni kuteka upendo wa hao watoto wakupende wewe,huo unaitwa wizi wa watoto wa watu.

Hii ipo Africa sana,hii tabia mbovu sana ife!
 
Binti yangu ana miez 6.
Nmenotice, akija mtu mgeni, hata akimbebA (jinsia yoyote) hua hareact lakn ananuna na kukuangalia mda mrefuuu sana. Anakua kama anakuchunguza.
Balaa lake sasa, usiku atalia tena kwa hasira kali hadi anatetemeka. N jam kubwa. Au mtu akija amejitanda manguo mengi mfano hijabu, wooi, n kilio balaa.
Sasa hv nmepiga stop kubebwa na mtu ambae hajamzoea
 
Wangu huyu. Ukishakua na jinsia ya kiume tena uwe mweusi kama baba yake baaso utambeba hado atalala

Ila jinsia za kike hata wifi zangu au wadogo zangu hataki wamguse
Watoto ni changamoto sana yaani😂😂😂😂hapo huwa wanakataa hadi bibi zao ila babu fresh
 
Wangu huyu. Ukishakua na jinsia ya kiume tena uwe mweusi kama baba yake baaso utambeba hado atalala

Ila jinsia za kike hata wifi zangu au wadogo zangu hataki wamguse
Hii tabia ya kwenda kwa watu na kuanza kuvamia vitoto vya watu kuonesha mapenzi hata zaidi ya wanao nyumbani ni tabia mbaya sana

ni tabia ya ku-love bomb watoto wa watu wakuone wa maana zaidi ya wazazi wao,which is emotional stealing of other people's kids

This has to stop
 
Kama nakuona ulivyofunga macho kunikemea kwa hilo jina

Kuwa na amani ndugu ni masiala tu hayo .

Hiyo ni psychological issue hususani kwa hizi jinsia zetu , mimi mwenyewe nikiwa mdogo nilitokea kumpenda mdada mtu mzima kiasi cha kuwa na wivu naye , nasimuliwa hivyo japo kwasasa nikimuona hata sikumbuki lolote

Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
Unasema "masiala" kuna utani hapo, wewe hujui msemo wetu waswahili kuwa dua mbaya haombewi mtoto!
 
Unaenda kwa mtu,unaanza kubeba watoto wake,kivipi yaani?

Salimia halafu tambaa
 
Back
Top Bottom