Wenye wivu mlie tu, mambo ya Kajala si mchezo

Money Stunna

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2011
Posts
13,053
Reaction score
6,304
Kajala Enjoys Business trip ndani ya business class ooooh awesome , big girls do big things.....'Says Sintah not Me...!!!
 
Jamani dada wa watu mpongezeni.

Ni wangapi kati yetu tunapanda business class ya Emirates au ndege za mashirika makubwa makubwa? Personally nimepanda kwa kulipiwa na ofisi. So kama kapanda kwa hela yake mfukoni..dada hongera.

Uzalendo siyo kugawana umasikini. Mwache mwenzio apate. Who knows? Tomorrow it might be you.

Masanja (no relation to Kajala)
 

hii ndio JF kila mtu matawi ya juu....first class....business class kawaida kwao!!! wakati wengi humu FASTJET ndio imewaokoa[ipo thread hapa inaonyesha hivyo] na ni mabingwa wa kuweka picha zao fb,instagram hata wakiwa wanakula junky KFC achilia mbali wakiwa kwenye flying coffins.

mimi nimepanda sana flights za europe/usa zaidi ya huya Kajala LAKINI SIJAWAHI KUPANDA BUSINESS CLASS i hope one day i will....
 

Wengine ndege tunazisikirizia kwa majirani zetu na kuangalia kwenye movie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…