Money Stunna
JF-Expert Member
- Aug 9, 2011
- 13,053
- 6,304
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vya kawaida tu hivi
Watu tunajiachia first class kila siku
Tena air bus 380 jumbo
Ushamba tu unawasumbua angekua amezoea unafikiri angepiga hyo mipicha?
Hebu na sisi twende make najiuliza sana kama wewe....hizi safari zao hizi!!!kila mtu china kunani huko?
Hebu na sisi twende make najiuliza sana kama wewe....
Jamani dada wa watu mpongezeni.
Ni wangapi kati yetu tunapanda business class ya Emirates au ndege za mashirika makubwa makubwa? Personally nimepanda kwa kulipiwa na ofisi. So kama kapanda kwa hela yake mfukoni..dada hongera.
Uzalendo siyo kugawana umasikini. Mwache mwenzio apate. Who knows? Tomorrow it might be you.
Masanja (no relation to Kajala)
Jamani dada wa watu mpongezeni.
Ni wangapi kati yetu tunapanda business class ya Emirates au ndege za mashirika makubwa makubwa? Personally nimepanda kwa kulipiwa na ofisi. So kama kapanda kwa hela yake mfukoni..dada hongera.
Uzalendo siyo kugawana umasikini. Mwache mwenzio apate. Who knows? Tomorrow it might be you.
Masanja (no relation to Kajala)
Vya kawaida tu hivi
Watu tunajiachia first class kila siku
Tena air bus 380 jumbo
Angekua amezoea angepiga hyo mipicha?