Kwani mfuko wa nyuma nameza au nadumbukiza...
Wanaendaga na wapiiii
Ntaweka tumboni na huku hivi kwenye mfuko wa nyuma....
Twende china.....Naomba unipe kazi ya kukupaki kwenye huo mfuko wa nyuma. Hahaha
Twende china.....
Kwani huo mzigo unapakiwa china???
sa hapo unaweza kulia nini
Jamani dada wa watu mpongezeni.
Ni wangapi kati yetu tunapanda business class ya Emirates au ndege za mashirika makubwa makubwa? Personally nimepanda kwa kulipiwa na ofisi. So kama kapanda kwa hela yake mfukoni..dada hongera.
Uzalendo siyo kugawana umasikini. Mwache mwenzio apate. Who knows? Tomorrow it might be you.
Masanja (no relation to Kajala)
hii ndio JF kila mtu matawi ya juu....first class....business class kawaida kwao!!! wakati wengi humu FASTJET ndio imewaokoa[ipo thread hapa inaonyesha hivyo] na ni mabingwa wa kuweka picha zao fb,instagram hata wakiwa wanakula junky KFC achilia mbali wakiwa kwenye flying coffins.
mimi nimepanda sana flights za europe/usa zaidi ya huya Kajala LAKINI SIJAWAHI KUPANDA BUSINESS CLASS i hope one day i will....
Segerea si mchezo kwenye vitu hivi lazima ufurahie atii
Jamani dada wa watu mpongezeni.
Ni wangapi kati yetu tunapanda business class ya Emirates au ndege za mashirika makubwa makubwa? Personally nimepanda kwa kulipiwa na ofisi. So kama kapanda kwa hela yake mfukoni..dada hongera.
Uzalendo siyo kugawana umasikini. Mwache mwenzio apate. Who knows? Tomorrow it might be you.
Masanja (no relation to Kajala)
Kijana mzungu yupo pembeni yake anasoma, yeye anaishia kupiga picha.
watanzania na vitabu wapi na wapi yani ni tatizo