Wenye wivu mlie tu, mambo ya Kajala si mchezo

Wenye wivu mlie tu, mambo ya Kajala si mchezo

Jamani dada wa watu mpongezeni.

Ni wangapi kati yetu tunapanda business class ya Emirates au ndege za mashirika makubwa makubwa? Personally nimepanda kwa kulipiwa na ofisi. So kama kapanda kwa hela yake mfukoni..dada hongera.

Uzalendo siyo kugawana umasikini. Mwache mwenzio apate. Who knows? Tomorrow it might be you.

Masanja (no relation to Kajala)

Ni sipongi hoja yako na pia naona ina mapungufu
1st sidhan kama kuna MTU anamponda au ana chuki sababu kajala amepanda business class
2nd she deserve s credit no.matter what
3rd ulimbukeni hapo ndo tatizo na ushamba Wa watu unapoonekana au kujionesha
 
hii ndio JF kila mtu matawi ya juu....first class....business class kawaida kwao!!! wakati wengi humu FASTJET ndio imewaokoa[ipo thread hapa inaonyesha hivyo] na ni mabingwa wa kuweka picha zao fb,instagram hata wakiwa wanakula junky KFC achilia mbali wakiwa kwenye flying coffins.

mimi nimepanda sana flights za europe/usa zaidi ya huya Kajala LAKINI SIJAWAHI KUPANDA BUSINESS CLASS i hope one day i will....

Honesty is definition of strength
Hongera ndugu
 
Kijana mzungu yupo pembeni yake anasoma, yeye anaishia kupiga picha.
 
Kashakua punda Huyu hamna jipya hapo, Ana kipato gani cha kupanda first class?
 
Hana jipya huyo alishidwa kujiokoa mwenywe,akaokolewa na wengine
 
Jamani dada wa watu mpongezeni.

Ni wangapi kati yetu tunapanda business class ya Emirates au ndege za mashirika makubwa makubwa? Personally nimepanda kwa kulipiwa na ofisi. So kama kapanda kwa hela yake mfukoni..dada hongera.

Uzalendo siyo kugawana umasikini. Mwache mwenzio apate. Who knows? Tomorrow it might be you.

Masanja (no relation to Kajala)

kwa hiyo ukishapanda unapiga picha watu waone!!
 
wani kashamaliza deni analodaiwa na wema???
 
Back
Top Bottom