Wenyeji wa Dar msaada wenu

Wenyeji wa Dar msaada wenu

Yan Dar complication ni nyingi sana tena kwa mgeni wa jiji anaweza akasusa kuishi Dar , maana kuizoea ni kazi kweli kweli, MFANO TU Kaliakoo kuna sehem haruhusiwi kupita dreva bajaj asie mremavu [emoji30]
Akipita anakamatwa anapigwa faini [emoji16]

Mambo ni mengi sana kwenye hili jiji
 
Kwenu hakuna hata rafiki anayeweza kukuelekeza hadi ukaja huku JF?

..........ila Wasukuma mnatia aibu sana.
Kuna haja gani ya kumnanga? Mbona watu kibao wanakuja humu kuuliza tuu namna ya kupika, walishindwa kwenda YouTube? Ama mafuta ya nywele au lotion kwani walikosa cosmetics na facial parlour?

Jitahd kuwa chanya kwenye comment ya mwingine
 
Mwamba alifika? Boti za uko mwisho saa ngp kwan?
 
Hakuna boti mda huo unafika labda ukate tiketi ya boti kesho asubuhi.

Kama lazima usafiri kuna meli ya usiku, unaweza kupanda ila utafika asubuhi.

Chukua bolt kwa usalama wako huko kukwepa garama bodaboda ni hatari sana kutumia kama usafiri na hivyo ni mgeni.

Kama unabegi likumbatie.

Karibu mjini, kaza sura usicheke na kima mpaka unafika Zenji🤝
😂😂😂
sasa mkuu, kwanini asicheke na kima akaze sura..??
 
Mwamba alifika? Boti za uko mwisho saa ngp kwan?
Ukute kaona mambo mengi kazima simu au kaambiwa safari kesho kwa muda ule ni ngumu afike mjini na kukuta boat maybe ile sea link kama ipo maake ile nasikia haichagui muda!

Ila kama keshasafiri safiri dar haikupigi chenga naamini kabisa
 
Mkuu unatokea wapi? Inaonekanwa Zanziba kwa mara ya kwanza? Mimi nipo huku kwa sasa mpaka mid january, karibu nikupeleke kunywa Urojo ili mwili upate kuanza kuregea regea, huku mwili hautakiwi kukacha sana.
 
ILe mwendokasi inayokaa nie pale magufuli stend inaenda wapi wenyeji wa town
 
Back
Top Bottom