Mropoka Hovyo
JF-Expert Member
- Sep 28, 2023
- 446
- 1,253
Aminia sana wakuu. Moja kwa Moja kwenye Mada, Wakuu Naomba mnipe uelekeo nahitaji kujua sehemu gani TANGA MJINI ambayo naweza nikapata kazi zile nzito nzito za ujenzi au kubeba zege au kwenye viwanda vya nondo vya wahindi kama vipo, Viwanda vya cement, Kushusha mizigo nk. Ili nikatafute kazi.
Msaada wenu pls nasubiria maelekezo hapa...
Msaada wenu pls nasubiria maelekezo hapa...