PiedPiper77
Senior Member
- Jan 8, 2025
- 146
- 196
Watahangaika sana na elfu 10 wanazolipwa
View: https://www.youtube.com/live/ayxulwI31K4?si=kqdYhKIBgFkjxq0k
Hatimaye wenyeviti na Makatibu WOTE wa MIKOA wamekutana kwa pamoja ili kutoa msimamo Wao kuelekea Jan 21.
Fuatilia jf kwa habari za papo hapo
maskini Lema anao wahutubia wanamuangalia kwa dharau na hasira sana,
View: https://www.youtube.com/live/ayxulwI31K4?si=kqdYhKIBgFkjxq0k
Hatimaye wenyeviti na Makatibu WOTE wa MIKOA wamekutana kwa pamoja ili kutoa msimamo Wao kuelekea Jan 21.
Fuatilia jf kwa habari za papo hapo
Wana mpango wa kumpindua mwambaKwamba huu ndio utaratibu wa chadema miaka yote au chama kimekumbwa na mihemko kama mmoja wa wagombea wake?
Wenzao upande wa pili wamewapasua watia nia wenza wa urais bila ganzi.Kwamba huu ndio utaratibu wa chadema miaka yote au chama kimekumbwa na mihemko kama mmoja wa wagombea wake?
Watu wamemchoka "mwamba" wameona liwalo na liwe.....mwamba mwenyewe kashtukia mchezo mpaka kaamua kufanya media tourKwamba huu ndio utaratibu wa chadema miaka yote au chama kimekumbwa na mihemko kama mmoja wa wagombea wake?
Wajumbe wapiga kura wako 1,200.
View: https://www.youtube.com/live/ayxulwI31K4?si=kqdYhKIBgFkjxq0k
Hatimaye wenyeviti na Makatibu WOTE wa MIKOA wamekutana kwa pamoja ili kutoa msimamo Wao kuelekea Jan 21.
Fuatilia jf kwa habari za papo hapo
Muda bado mbona mwenye woga ni ChairWenzao upande wa pili wamewapasua watia nia wenza wa urais bila ganzi.
Sio Chair bali Team Lisu ndio wana kelele mitandaoni waoga sanduku la kuraMuda bado mbona mwenye woga ni Chair
Hiki ni kipindi cha kampeni kwa chadema kila mtu ana-uhuru wa kuchagua upandeSio Chair bali Team Lisu ndio wana kelele mitandaoni waoga sanduku la kura
Si wasubiri keshokutwa sanduku la kura muda huu wa lala salama?
Seriously CHADEMA is above next level kwa mipango.. Wako very very systematic