Wenyeviti na Makatibu wote wa mikoa wa Chadema wanatoa msimamo wao muda huu

Wenyeviti na Makatibu wote wa mikoa wa Chadema wanatoa msimamo wao muda huu

Aisee kwa mara ya kwanza naona siasa ya kitaalam na kisayansi kwenye siasa za vyama. Lissu na wote wanaaomunga mkono hakika wamefanya oganaizesheni ya hali ya juu kunyakua uongozi wa chama. Hii inaweza kufungua siasa mpya za akili nchini mwetu. Hii sio siasa ya hela ama ukwasi wa mali bali maono, mtandao, hoja na namba za kura
 
operanews1692097375458-360x330.jpg

#FREE DR.SLAA
 
Sio Chair bali Team Lisu ndio wana kelele mitandaoni waoga sanduku la kura

Si wasubiri keshokutwa sanduku la kura muda huu wa lala salama?
Intimidation na branding ni muhimu sana kwenye campaign. Hapo anaonyesha power iliyopo kwamba wakichezea uchaguzi patawaka!! Hivi hao wote wakimgomea Mbowe atamuongoza nani?
 
Back
Top Bottom