Wenyeviti na Makatibu wote wa mikoa wa Chadema wanatoa msimamo wao muda huu

Wenyeviti na Makatibu wote wa mikoa wa Chadema wanatoa msimamo wao muda huu

hq720.jpg

#FREE DR.SLAA
 
Mwanzo nilidhani ni mzaha, Ila akianani Mbowe safari hii ameyatimba,
Sijui atashindaje shindaje yani
Tulishauri ,Mbowe jitoe ,wapambe njaa NTOBI , YERICO NYERERE , wakaanza mpamba ,sasa anaenda kupigwa kipigo cha Mbwa Koko
 
maskini Lema anao wahutubia wanamuangalia kwa dharau na hasira sana,

nahisi wanajisemea moyoni kwamba hili jamaa lenyewe limejichokea tu linabwabwaja tu hapa, linapoteza muda tu :pedroP:
Wewe ndio umeona hivyo
 
Mimi sio mwanachama wa CHADEMA. Ila kama wana dhamira ya kupambana na CCM basi wampe mkono wa kwaheri mwamba.

Amekijenga chama kwa muda mrefu ni wakati wa kupumzika na ku-observe akiwa kama mjumbe tu wa kamati kuu.
 
maskini Lema anao wahutubia wanamuangalia kwa dharau na hasira sana,

nahisi wanajisemea moyoni kwamba hili jamaa lenyewe limejichokea tu linabwabwaja tu hapa, linapoteza muda tu :pedroP:
Umepagawa.
 
Wajumbe wapiga kura wako 1,200.

Wenyeviti na makatibu wa mikoa hawazidi 60
1200 ukitoa 60 bado wanabaki 1140

Hao 60 hamna kitu hata wakimpa kura zao zote Lisu
Endelea kujifariji. Mbowe kachokwa na kila mpenda mageuzi nchini
 
maskini Lema anao wahutubia wanamuangalia kwa dharau na hasira sana,

nahisi wanajisemea moyoni kwamba hili jamaa lenyewe limejichokea tu linabwabwaja tu hapa, linapoteza muda tu :pedroP:
Umepagawa.
Mbowe ni mwenyekiti kwa mitano Tena!! Hatishiki mtu!! Hicho kinachoendelea Hapo ni utoto sana!
Mbowe kachokwa na kila mpenda mageuzi nchini.
Leo hii mbowe anaungwa mkono na michawa ya ccm? Kweli mwisho wake utakuwa mbaya sana. Atakuwa level moja na Cheyo au Lipumba
 
Kwamba huu ndio utaratibu wa chadema miaka yote au chama kimekumbwa na mihemko kama mmoja wa wagombea wake?
Huo ni ubora wa Chama kwa Afrika Chadema haikosekani kwenye top 5.Ulaya haikosi kwenue top15,Duniani haikosekani kwenye top 50.Akitaka kuzingua mmoja wetu tinamfungulia milango akale anapochezaga.
 
Back
Top Bottom