M24 Headquarters-Kigali
JF-Expert Member
- Jul 9, 2012
- 8,199
- 8,186
Labda Mshindi wa kubwabwajaHata CCM mkitumia dola, Lissu ndio mshindi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Labda Mshindi wa kubwabwajaHata CCM mkitumia dola, Lissu ndio mshindi.
Kuna sababu watu wanaitwa nyumbu. Wana rudia tuu kila kinachosemwa bila uelewa wowote. K.m. anachozungumza kuhusu rushwa hakina kichwa wala miguu. Au hilo la Mbowe kuwa Rais. Wanafikia hata hatua ya kumtolea vitisho Mbowe!
Itakuwa interesting kuwaona watafanya nini kama Mbowe atashinda. Hata Lissu akishinda kama kweli watakuwa nae.
Amandla...
Si mlikuwa mnasema Mbowe astaafu, sasa imekuwaje?Labda Mshindi wa kubwabwaja
Mbowe ndie Mwenyekiti wa mileleSi mlikuwa mnasema Mbowe astaafu, sasa imekuwaje?
Sio mimi. Kuna watu wanawaita hivyo...unakosea kuita binadamu wenzako nyumbu.
Hakuna excuse ya kufuata vitu bila kutafakari. Na hii sio kwenye siasa tu. Tukisikia kuna mtu anasema kuwa ametumwa na Mungu tunafurika huko bila hata kujiuliza kama hiyo miujiza anayodai kuifanya ni kweli au la. Hata kwa wale ambao wameenda shule na wamepata exposure ya kutosha...kuna hujuma zimefanyika kwa muda mrefu dhidi ya Watanzania ambazo zimepelekea tuwe hivi tulivyo.
Ndio mazoea yetu. Na tukimkubali mtu tunamgeuza Mungu. Mtu akidiriki kumkosoa tunam mwagia matusi badala ya kumuonyesha kwa nini hayuko sahihi...Watanzania majadiliano yanayohitaji kushindanisha hoja, tunashindana kwa kucharurana.
Nakubaliana na wewe kwenye hili. Ila mimi nafikiri tatizo lingine ni kuwa tunakuwa wepesi mno kumkubali mtu ambae anasema kuwa ana ufunguo wa matatizo yetu. Awe sponsor wa timu ya mpira, kiongozi wa dini, kiongozi wa kisiasa n.k...Yaani mienendo yetu ktk mijadala ya Yanga vs Simba, ndiyo hiyo inahamia ktk mijadala mizito ya kisiasa, kiuchumi, na kijamii.
Nayaangalia ndio maana yananichukiza. Hasa ninapoamini kuwa kuna watu ambao wanayachochea kwa ajili ya manufaa yao...Unapoangalia kinachoendelea Chadema sasa hivi ni lazima uzingatie mazingira niliyoyaelezea hapo juu.
Wewe umebanwa na mavi unatafuta sababu!Lema Lissu na heche wakishinda nakunya mtandaoni
NI LISSU, ndiye mwenyekiti mpyaMatokeo yapi tena? Mwambieni ndugu yenu awe na tiket mkononi
Mmehamisha goli tena..?Wajumbe wapiga kura wako 1,200.
Wenyeviti na makatibu wa mikoa hawazidi 60
1200 ukitoa 60 bado wanabaki 1140
Hao 60 hamna kitu hata wakimpa kura zao zote Lisu
View: https://www.youtube.com/live/ayxulwI31K4?si=kqdYhKIBgFkjxq0k
Hatimaye wenyeviti na Makatibu WOTE wa MIKOA wamekutana kwa pamoja ili kutoa msimamo Wao kuelekea Jan 21.
Fuatilia jf kwa habari za papo hapo
I agree with YouSeriously CHADEMA is above next level kwa mipango.. Wako very very systematic
Kwa hela ipi?NI LISSU, ndiye mwenyekiti mpya
Naona umejitoa mhanga kweli kumtetea dikteta uchwara ambaye amekataliwa.Labda Mshindi wa kubwabwaja
Hujajibu swali mkuu!Huo ni ubora wa Chama kwa Afrika Chadema haikosekani kwenye top 5.Ulaya haikosi kwenue top15,Duniani haikosekani kwenye top 50.Akitaka kuzingua mmoja wetu tinamfungulia milango akale anapochezaga.
Sijavunja Sheria yoyoteNaona umejitoa mhanga kweli kumtetea dikteta uchwara ambaye amekataliwa.
Unadhani hawana akili kabisa? hapana. Walikuwa wanataka mbowe aondoke. Wamegundua kuwa anayetaka kuchukua kiti ni lissu. wameshtuka wameona bora aendelee mbowe maana anazungumzika.Si mlikuwa mnasema Mbowe astaafu, sasa imekuwaje?
Kuna swali umeniuliza au nimekuuliza wewe hapari ya suprise hapo kwenu,kumbe mlikuwa nazo za kumwaga kiasi zimewaachia wenge mithili ya walevi wa visungura na gongo feki?Hujajibu swali mkuu!