Wenyeviti na Makatibu wote wa mikoa wa Chadema wanatoa msimamo wao muda huu

Wenyeviti na Makatibu wote wa mikoa wa Chadema wanatoa msimamo wao muda huu

21 Jan iwe tu siku ya mapumziko! Au uchaguzi utafanyika usiku wa manane kama shirki?

Polisi wawepo viunga vya ukumbi,metal detectors langoni muhimu.
 
Unadhani hawana akili kabisa? hapana. Walikuwa wanataka mbowe aondoke. Wamegundua kuwa anayetaka kuchukua kiti ni lissu. wameshtuka wameona bora aendelee mbowe maana anazungumzika.
Atakuja kuchukua cha hapo chamani kwenu.
 
Aisee kwa mara ya kwanza naona siasa ya kitaalam na kisayansi kwenye siasa za vyama. Lissu na wote wanaaomunga mkono hakika wamefanya oganaizesheni ya hali ya juu kunyakua uongozi wa chama. Hii inaweza kufungua siasa mpya za akili nchini mwetu. Hii sio siasa ya hela ama ukwasi wa mali bali maono, mtandao, hoja na namba za kura
Je,kama Mbowe akishinda nafasi ya mwenyekiti Kwa kutumia wapigakura ukumbini,huo mtandao wa akina Lisu na Heche watakimbia chama? Maana kila siku wanahubiri kwamba Kuna rushwa kwenye uchaguzi wa Chadema?
 
Kundi la Lissu ni waongo sana, wanawafanya wafuasi wao ni mazezeta. Wenyeviti halali wa mikoa wapo kwenye press sasa hivi wanakanusha kumuunga mkono Lissu.
 
Back
Top Bottom