Wenyeviti na Makatibu wote wa mikoa wa Chadema wanatoa msimamo wao muda huu

Wenyeviti na Makatibu wote wa mikoa wa Chadema wanatoa msimamo wao muda huu

mimi kama kichwa cha familia tayari nimewambia wanafamilia kama kwenye huu msafara wa mamba kuna kenge basi 2025 ajidai mamba kwa usalama wake.., niko bega kwa bega na mama kuwakabili hawa wanaojita wapinzani kwa chama dola
 
Tatizo kubwa na ambalo litakiuwa chadema, chadema wajumbe na wanachama wao wote, hawajui muundo na mfumo wa vyombo vya Dola ndani ya CCM na serikali yake!

Wanahisi ,wakilala na kuamka Lissu anachukua Dola😂
 
Wewe unajiona una akili sana au mpuuzi tu chawa wa kijani!
 
Wao wajiandae kuhama chadema, tunaenda kumchagua Mbowe aongoze chama kwa ustaarabu.

Achana na mapicha picha yasikuchanganye.

Mpaka sasa Mbowe anashinda, hao wengine waende waendako.
 
Mbowe kazungukwa na watu wajinga wajinga
Mpaka Leo nimewafatilia team Mbowe sijaona mtu yeyote conscious wakuifanya CHADEMA iwe na nguvu km enzi za kina Dr Slaa
Kazungukwa na wachawa wakina Sugu,Kileo,Naftar ambao hawana impact yeyote.
 
Wajumbe wapiga kura wako 1,200.

Wenyeviti na makatibu wa mikoa hawazidi 60
1200 ukitoa 60 bado wanabaki 1140

Hao 60 hamna kitu hata wakimpa kura zao zote Lisu
kumbuka kwenye hao wajumbe 1140 lissu ana kura nyingi tu
 
Back
Top Bottom