Asalamaleko
JF-Expert Member
- May 10, 2015
- 2,699
- 7,726
Yaani hata lisu asaidiwe na ubelgiji hawez kumshinda mbowe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
unaonaje hapo?maskini Lema anao wahutubia wanamuangalia kwa dharau na hasira sana,
nahisi wanajisemea moyoni kwamba hili jamaa lenyewe limejichokea tu linabwabwaja tu hapa, linapoteza muda tu![]()
Lisu ndiye mwenyekiti.Yaani hata lisu asaidiwe na ubelgiji hawez kumshinda mbowe
Wewe unajiona una akili sana au mpuuzi tu chawa wa kijani!Tatizo kubwa na ambalo litakiuwa chadema, chadema wajumbe na wanachama wao wote, hawajui muundo na mfumo wa vyombo vya Dola ndani ya CCM na serikali yake!
Wanahisi ,wakilala na kuamka Lissu anachukua Dola😂
Mbowe anapiganiwa na michawa ya ccm. Hii ni ajabu sana.Msigwa kampeni manager wa lissu yupo chama gani
kumbuka kwenye hao wajumbe 1140 lissu ana kura nyingi tuWajumbe wapiga kura wako 1,200.
Wenyeviti na makatibu wa mikoa hawazidi 60
1200 ukitoa 60 bado wanabaki 1140
Hao 60 hamna kitu hata wakimpa kura zao zote Lisu
Tuliza mshono. Hujui kazi ya pesa?Mwanzo nilidhani ni mzaha, Ila akianani Mbowe safari hii ameyatimba,
Sijui atashindaje shindaje yani
Kwa hela ipi?kumbuka kwenye hao wajumbe 1140 lissu ana kura nyingi tu
View: https://www.youtube.com/live/ayxulwI31K4?si=kqdYhKIBgFkjxq0k
Hatimaye wenyeviti na Makatibu WOTE wa MIKOA wamekutana kwa pamoja ili kutoa msimamo Wao kuelekea Jan 21.
Fuatilia jf kwa habari za papo hapo
Njia pekee ni rigging in erection without getting caught...Mwanzo nilidhani ni mzaha, Ila akianani Mbowe safari hii ameyatimba,
Sijui atashindaje shindaje yani
tulio uone matokeoKwa hela ipi?
Matokeo yapi tena? Mwambieni ndugu yenu awe na tiket mkononitulio uone matokeo
Hata CCM mkitumia dola, Lissu ndio mshindi.Yaani hata lisu asaidiwe na ubelgiji hawez kumshinda mbowe