Wenyeviti na Makatibu wote wa mikoa wa Chadema wanatoa msimamo wao muda huu

Wenyeviti na Makatibu wote wa mikoa wa Chadema wanatoa msimamo wao muda huu

maskini Lema anao wahutubia wanamuangalia kwa dharau na hasira sana,

nahisi wanajisemea moyoni kwamba hili jamaa lenyewe limejichokea tu linabwabwaja tu hapa, linapoteza muda tu :pedroP:
Kuna kamanda amepiga miayo mpaka nimeogopa.
 
Mwanzo nilidhani ni mzaha, Ila akianani Mbowe safari hii ameyatimba,
Sijui atashindaje shindaje yani

walikuwa wakimhoji Lisu kuwa "vipi ukishindwa uchaguzi, bado utabaki CHADEMA ama utaondoka?" hili swali aliulizwa na waandishi na wanahabari wengi sana. Yeye aliwaambia: " mbona hili swali mnaniuliza mimi tu hamumuulizi na Mbowe?". binafsi nikawa namuelewa sana.
 
Wananchi wengi hawapendi mambo za Museveni kwenye utawala hiyo ndio sifa inayomuondoa Mwamba kwenye kiti chake hakuna kingine..
 
Back
Top Bottom