Wenyeviti na Makatibu wote wa mikoa wa Chadema wanatoa msimamo wao muda huu

Wenyeviti na Makatibu wote wa mikoa wa Chadema wanatoa msimamo wao muda huu

Wajumbe wapiga kura wako 1,200.

Wenyeviti na makatibu wa mikoa hawazidi 60
1200 ukitoa 60 bado wanabaki 1140

Hao 60 hamna kitu hata wakimpa kura zao zote Lisu
Hawa timu ropo watapigwa kama ngoma.
 
"...unawacheleweshea posho wajumbe, njaa iwaume ili wahitaji rushwa kama unavyo watupia mahindi kuku wa kienyeji..."
Alisikika muwakilishi akiwahutubia waliokuwemo
 
Lusungo Retired Quinine Fundi Mchundo ...

Kwa hali ilivyo ushindi wa Mbowe (kama atashinda) utakivuruga sana hiki chama.

zitto junior JokaKuu Bams
Kuna sababu watu wanaitwa nyumbu. Wana rudia tuu kila kinachosemwa bila uelewa wowote. K.m. anachozungumza kuhusu rushwa hakina kichwa wala miguu. Au hilo la Mbowe kuwa Rais. Wanafikia hata hatua ya kumtolea vitisho Mbowe!

Itakuwa interesting kuwaona watafanya nini kama Mbowe atashinda. Hata Lissu akishinda kama kweli watakuwa nae.

Amandla...
 
Anayewajua Wakardayo wanapatikana kwenye mstari gani wa Bible anisaidie ili nikasome
 
Huyu Bele wa Kusini mbona ana moto sana? Fujo ndio mambo yake? 🤣🤣🙌🏾
 
Back
Top Bottom