walikuwa wakimhoji Lisu kuwa "vipi ukishindwa uchaguzi, bado utabaki CHADEMA ama utaondoka?" hili swali aliulizwa na waandishi na wanahabari wengi sana. Yeye aliwaambia: " mbona hili swali mnaniuliza mimi tu hamumuulizi na Mbowe?". binafsi nikawa namuelewa sana.