Wenzake watatu wa Sabaya hawana majina?

Wenzake watatu wa Sabaya hawana majina?

Kasomi

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2014
Posts
11,030
Reaction score
20,391
Kwa mfululizo mzima wa kesi ya Sabaya imekuwa ikitajwa sabaya na wenzake watatu. Je, hao wenzake watatu ni akina nani? Na haiwezekani kutajwa majina yao? Naulizia tu.

Mfano:
Sabaya na wenzake watatu wahukumiwa Miaka 30 jela.
 
Labda kama wewe ni mgeni wa kesi hiyo, hao wenzake wawili, kila siku walikuwa wakitajwa na vyombo vya habari, !!sio kila kitu ni cha kuanzisha uzi wakati mambo mengine , yako wazi tu??yaani toka kesi imeanza karibu miezi 6, sasa hadi leo hujui kama hao wenzake majina yao yapo wazi tu?!!
 
Binafsi hua nasikia tu Sabaya na wenzake watatu.
Hata sijui hao wenzake na kwa nini wasiwe wanataja Sabaya,...,..., Na...
 
Kwa mfululizo mzima wa kesi ya Sabaya imekuwa ikitajwa sabaya na wenzake watatu. Je, hao wenzake watatu ni akina nani? Na haiwezekani kutajwa majina yao? Naulizia tu.

Mfano:
Sabaya na wenzake watatu wahukumiwa Miaka 30 jela.
We ni kasomi kajinga mkuu
 
Dah mmoja hapo ni rafiki yangu wa karibu sana, Nina mengi nayofahamu ila Basi tu inauma sana mshkaji kuishia ivi
Pole sana mkuu najua inauma japo kuna team itakuja humu kukuponda juu ya jamaa yako.
 
Back
Top Bottom