Amigoh
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 2,045
- 2,975
Code: Bao la kwanza usimwagie ndani..Au ndo kuumwa kwenyewe?!!!!!!
Yaani nikimaliza Kuna hali flani ya kuchafukwa inanitokea mpaka najishangaa nilikuwa nahangaikia nini'?!! Hali ipo hivyo kwa Kila niliyepita nae......kutoka wa kishua haswa Hadi wa uswahilini. Hata yule Mnorway niliyebahatika kule Arusha Hali ilikuwa hivi hivi. Elimu yenu tafadhali.