Gunner11
JF-Expert Member
- Nov 2, 2021
- 16,680
- 31,804
Why? Not to me, you we more than othersI always do that nyandone!
Why? Not to me, you we more than othersI always do that nyandone!
You know our bond, is real , why act like strangers😑Relax, nothing serious here!
Yule anazeeka na ujinga wake🤣Sema bado nakula vyombo, au ngoja tu nikusubiri! Huenda mme wetu naye akabadilika akafuata nyayo zetu!😁
Naombeni kuuliza kwa unyenyekevu, mabinti Sayuni wenzangu mnawezaje kuendelea kuishi mkiwa single bila kushiriki dhambi ya uzinzi? Mimi binafsi najikuta kama ni vita ngumu, hasa wakati mwingine hisia zinapozidi.
Je, mnaweza kushiriki mbinu au njia mnazotumia kudhibiti mwili na hisia hadi pale mtakapokutana na mtu sahihi aliye katika mapenzi ya Mungu?
Najua si rahisi, lakini najifunza na natamani kujua kutoka kwa waliopita huku na wakaweza kusimama imara. Tafadhali tushauriane kwa heshima, huenda tukajifunza kitu kikubwa kwa pamoja.
Asanteni sana.
Kachanganyikiwa na maisha🤣🤣Huyu mzee kabadilika sana mke mkubwa😒
Au tumuwekee sumu tu afe🤔
UwiiiiUkikumbuka kuna kulambwa na ukaachwa singo maza😆😆😆
Mapenzi ysmenilemea🤣🤣🤣Ulipotelea wapi mama mchunga!😅
Ninae 1 tu 🤣🤣Naomba mpenzi mmoja basi ma mchunga😝
😄😄Umeanza dharau lini mdogo wangu😃
😎🤣🤣🤣🙌Nipe hata wa zamani nimalizie makombo😆