Hii nime isikia sikia...pia mwingine anasema yeye akiwa busy busy na kazii hapati hamu.maji ya moto anawie kule kwa mshangazi 😂
Ss ndo utoke kwenye reliKwahiyo mtumishi hujaona kabisa kanavyonipondea😭
Hongereni kwa ku-abstain, huo mtihani japo wengine tuko retired lakini hatuuwezi, tumefeli!!Yeah
Till further notes...
Easy tuu..
Yaani umeuweka mwili wakl muda mrefu halafu kirahisi uje kumpa mtu kwanza sio romantic, jiandae kuchubuka usipokaa sawa akuachie uti... ya nn....bora ukae mbona sio chakula kwamba ukikosa utakufa
MhmmKwakweli najuta🤦🏽♀️
HahaaHongereni kwa ku-abstain, huo mtihani japo wengine tuko retired lakini hatuuwezi, tumefeli!!
MmhhhhKwakweli najuta🤦🏽♀️
Nakuelewa sana mkuu! Uchumi unatufanya tushindwe kufanya mambo mengine kabisa, ndio maana hata mnawasema vijana hawana nguvu tena!Hahaa
Asante
Sio rahisi lkn kila ukiwaza mambo yalivyo genye zinakata mbona
Vijana nguvu wanazoNakuelewa sana mkuu! Uchumi unatufanya tushindwe kufanya mambo mengine kabisa, ndio maana hata mnawasema vijana hawana nguvu tena!
Umenikumbusha kuna mwaka nilikuwa na kikundi kimoja na hisa na mchezo wa kila mwezi, hisa yenyewe nagonga kila wiki na nilikuwa nacheza hisa 6 nilikoma jamani😂 mkaka alikuwa akinitongoza nakuwa mkali kama pilipili nilikuwa sina hisia mpaka mwaka ukakata nikatoa vyama nikabaki na kimoja uwii🙆🏽♀️Vijana nguvu wanazo
Shida na wao mambo mengi , yaani ht akitaka mwanamke ni km ananunua tu hakuna yale mapenzi....
Na mwanamke unakuta anawaza sijui vikoba
Shida hakuna mapenzi jmn no feelings
🤣🤣🤣🤣🤣Umenikumbusha kuna mwaka nilikuwa na kikundi kimoja na hisa na mchezo wa kila mwezi, hisa yenyewe nagonga kila wiki na nilikuwa nacheza hisa 6 nilikoma jamani😂 mkaka alikuwa akinitongoza nakuwa mkali kama pilipili nilikuwa sina hisia mpaka mwaka ukakata nikatoa vyama nikabaki na kimoja uwii🙆🏽♀️
Vikoba ni laana , kwani pesa zako hauwezi zitunza mwenyewe?Umenikumbusha kuna mwaka nilikuwa na kikundi kimoja na hisa na mchezo wa kila mwezi, hisa yenyewe nagonga kila wiki na nilikuwa nacheza hisa 6 nilikoma jamani😂 mkaka alikuwa akinitongoza nakuwa mkali kama pilipili nilikuwa sina hisia mpaka mwaka ukakata nikatoa vyama nikabaki na kimoja uwii🙆🏽♀️
Ni very stressful upande wa utafutaji unaweza buni mbinu mpaka ukashangaa mwenyewe umepataje hela zote aisee😃 sema kwenye upande wa mahusiano hapana ni heri ukae single kwanza kama huwezi kujizuia hii inasaidia mno!🤣🤣🤣🤣🤣
Si unaona
Kwanini hukunipigia dear!!?so sad aiseh!Kama week ilopita kuna siku sijaenda job sikuwahi kujua kama nyeeege ni ugonjwa yaani
😁😁Wanatumia kibomba