ERoni
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 55,787
- 131,638
Unadhani kwa nini hutongozwi mjukuu?Swali juu ya swali😩 huwa sitongozwi babu..
Unadhani kwa nini hutongozwi mjukuu?Swali juu ya swali😩 huwa sitongozwi babu..
Mhm mbona nimemtongoza bwashee?Unadhani kwa nini hutongozwi mjukuu?
Unamfaham personally mangii?Mhm mbona nimemtongoza bwashee?
HapanaUnamfaham personally mangii?
Unatongozaje mtu humfaham bwashee?Hapana
Kawaida tuUnatonhozaje mtu humfaham bwashee?
Sio kawaida, huwezi kutongoza mtu humjui!Kawaida tu
Mimi naweza bwasheeSio kawaida, huwezi kutongoza mtu humjui!
Siku ukikutana nae na matokeo yakawa tofauti na ulichokiona unafanyaje, tupe uzoefu!!Mimi naweza bwashee
Matokeo yap ? Muhimu awe mwanamke tyuSiku ukikutana nae na matokeo yakawa tofauti na ulichokiona unafanyaje, tupe uzoefu!!
Nakupa namba yangu inbox, mengine tutajua baadae mjukuu🤣🤣Sijuii babuu
Unataka utongozwe na mtu humfaham?Unaona? Uchawi huu wazi wazi! Halafu unaniuliza why sitongozwi🤦🏽♀🥹
Expectations vs reality!Kwa hiyo babu unataka uhalisia gani hapo😏
Wapare bhana 🤣😂Unataka utongozwe na mtu humfaham?