Nimemuuliza Min me namna gani anakutongoza hata hakufaham, wewe unadhani ni sawa?Namba yanini umeshanipondea huku😫
Sijaongelea kumjua mjukuu!Unavipataje kwa pamoja, hujui ata ukikutana na mtoto mzuri club huwezi kumjua vzr hapo hapo?
Tumefanyaje mtani!!Wapare bhana 🤣😂
wasukuma mna sura zenu za kazi bwana🌚Usinitie hasira nikaanika urembo wangu humu😅
Ma snichi😁Tumefanyaje mtani!!
Wala mtani, ukimsema mpare vibaya..tayari umemsema mchaga vibaya🤣🤣Ma snichi😁
Hatufanani kamwe 😁Wala mtani, ukimsema mpare vibaya..tayari umemsema mchaga vibaya🤣🤣
Subiri sabato iishe🤣🤣😋Kwanini sio sawa? Lete namba aisee sijapendaa..
Naongelea kumfahamu!Uanongelea nn
Seriously?Sasa utafahamianaje mkuu bila kutongozana..
KubwaaJamani kwani kuna shida?
Naona mchaga mwenzangu min -me kashakuzimikia.Si ndio ma-wife material sisi😃
Mambo mazuri haya hitaji haraka bwashee, sina mke sina mpenzi nipo free kuzimikia😅