Wenzangu Mabinti Sayuni: Mnawezaje Kuishi Single bila Kuanguka Dhambini?

Wenzangu Mabinti Sayuni: Mnawezaje Kuishi Single bila Kuanguka Dhambini?

Mabinti wa sasa wanaanguka sana dhambini na kanisani wanakuja, tena ni waabudishaji/praise team. Hawa ni tofauti na mabinti wa zamani walidumu wokovuni mpaka walipoolewa
 
Unatongozaje mtu humjui mangi, basi muombe kwanza umfahamu kidogo, kutana nae sehemu upige ulabu huku anakuona, muongee kidogo mtengeneze connection ndio usemw jambo lako.
Bwashee nakula pombe Tanzania niunganisha na wanaangu wa bongo1🤣🤣🤣 wapare nyie ni wanafki sana halafu hamna pesa😅😅😅
 
Back
Top Bottom