min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 61,672
- 178,673
Najua ila fanya kutikisa Tupate hiyo pesaa😅😅😅😅Sina hizo njaa mkuu
Najua ila fanya kutikisa Tupate hiyo pesaa😅😅😅😅Sina hizo njaa mkuu
sijaona, naona waliojua wanaume kabla ya ndoa na wengine wanafunga ndoa tayari wana mimbaHata sasa wapo!
Nakuaminia 😅Akhuu!!
wana mpango wa kuolewa au wanasubiri muujiza wa kupata ndoa? Hao watakuwa wameweka nadhiri wamtumikie MunguNilipo nawaona wengi tu wanamtumikia Mungu kwa roho na kweli!
wana mpango wa kuolewa au wanasubiri muujiza wa kupata ndoa? Hao watakuwa wameweka nadhiri wamtumikie MunguNilipo nawaona wengi tu wanamtumikia Mungu kwa roho na kweli!
Unafiki hauna kabila mangi🤣🤣ila ni kweli hatuna pesa wapare, hasa za kuhonga🤣🤣Bwashee nakula pombe Tanzania niunganisha na wanaangu wa bongo1🤣🤣🤣 wapare nyie ni wanafki sana halafu hamna pesa😅😅😅
Kweli ndege wafananao, sasa naanza kuwaelewa GenZ🤣🤣Na tukitoka hapo kila mtu na times zake!😆 kwani we mzee unatafuta wa kufanya naye nini?
Iliwahi kunitokea mara moja tu, kukutana na mrembo kunako. Nikasema hiiiii, kumbe wanaenjoy🤣🤣Akhaa babu wee!💃🏽
Vita ako ngumu sanaNaombeni kuuliza kwa unyenyekevu, mabinti Sayuni wenzangu mnawezaje kuendelea kuishi mkiwa single bila kushiriki dhambi ya uzinzi? Mimi binafsi najikuta kama ni vita ngumu, hasa wakati mwingine hisia zinapozidi.
Je, mnaweza kushiriki mbinu au njia mnazotumia kudhibiti mwili na hisia hadi pale mtakapokutana na mtu sahihi aliye katika mapenzi ya Mungu?
Najua si rahisi, lakini najifunza na natamani kujua kutoka kwa waliopita huku na wakaweza kusimama imara. Tafadhali tushauriane kwa heshima, huenda tukajifunza kitu kikubwa kwa pamoja.
Asanteni sana.
Ni rahisi kumtongoza mwanamke wa kiislam hasa pwani kuliko mwanamke wa kikiristo na ukapata mbususu ndani ya nuda mfupi tuKwanini uislam ,fafanua zaidi tafadhali
Wala sio uongo kwa hiyo kama Yuko katika mulengo huo ni ngumu kuepuka kutoa utelezi,hao wanalika hata kwa mihogo ya 500 tu ilimradi umemwezesha kuiona siku anakuona wa maana kwanza wao wenyewe wanaamini kwamba ikipita siku hajatongozwa basi ana kimavi(mkosi) na Yuko radhi hata akasafishe nyota huko.Duhh hii itaketa shida..