Haya endeleeni na ujana wenu, mna mambo sio poa GenZMambo ya kizamani..
Au kuna namna tumekaa ki gen z niniMillenial hapa usinishushe hadhi tafadhali😅
Tukae hivyo hivyo ki FBI zaidiItakuwa
Nipe nafasi basi kama unaona kabisa unakidhi vigezo🤣🤣Labda min mi sio gen z aisee, ni bonge la mshangazz yale unayoyapendaga😝
Unayo pesa pesa Bwashee? Na unaweza muoa,?Nipe nafasi basi kama unaona kabisa unakidhi vigezo🤣🤣
Kuoa kupo overrated mangiii🤣🤣 swala la pesa naafikiana na wewe, ila sina hizo pesa🤣🤣Unayo pesa pesa Bwashee? Na unaweza muoa,?
Mimelewa bwashee tuishie hap kwanza 😅Kuoa kupo overrated mangiii🤣🤣 swala la pesa naafikiana na wewe, ila sina hizo pesa🤣🤣
Kama mtani wangu amejaza nafasi hakuna namna naweza ingia hapo, ila kama nafasi zipo wazi nipo tayari hata sasa🤣🤣Nafasi zilizoachwa wazi unaweza kuzijaza lakini? Unaona challenges hizo?🤣
Bwashee mtoto mzuri na mbless hii ngomaMimelewa bwashee tuishie hap kwanza 😅