hearly
JF-Expert Member
- Jun 19, 2014
- 54,381
- 80,393
Kmmk 😁Aisee sio poa
Unapata mihemuko Hadi kizunguzungu yaani
Huu mwaka sijui kama natoboa
Niombeeni Sana jamani
Kmmk 😁Aisee sio poa
Unapata mihemuko Hadi kizunguzungu yaani
Huu mwaka sijui kama natoboa
Niombeeni Sana jamani
😁Kama week ilopita kuna siku sijaenda job sikuwahi kujua kama nyeeege ni ugonjwa yaani
😁😁😁Gegedwa wewe acha kujipa stress 🤣🤣🤣🤣
Umeshapata mwenza,!??Amina,
kwahiyo kipindi namsubiri wa kufanana naye naishindaje hii dhambi(uzinzi)?
Unasubiri nini?Hapana bado
Mnachagua sana!! Mwenye 50% ya vigezo anatolia kabisaNamsubiri muuliza swali😆
Huu ni uongo! Kwamba hutongozwi, sio kweli. Sema mnaweka standards za juu, wanaume hawafiki hata nusu, lower your standards muone kama mambo hayatiki chap sanaHatuchaguliwi bwana, unaanzaje kuchagua wakati ata kuchaguliwa huchaguliwi😂
We are here waiting to settle for less na hatuwaoni vijana, wanakuja matapeli tu🤦🏽♀️ Ni kwanini huwa mnasema hivi, hamuamini kuna watu hawatongozwi kabisa au?Huu ni uongo! Kwamba hutongozwi, sio kweli. Sema mnaweka standards za juu, wanaume hawafiki hata nusu, lower your standards muone kama mambo hayatiki chap sana
Kwanini uislam ,fafanua zaidi tafadhaliKwanza wewe ni dini Gani?kama ni muislam ni ngumu kuepuka ngono kwa sababu kwenye uislamu Kuna vishawishi sana.
Mara ya mwisho wewe kupata mtongozo serious ni lini?Swali la juu ya post hii😁
hahaa sura ya baba🌚Swali juu ya swali😩 huwa sitongozwi babu..