Wenzangu Mabinti Sayuni: Mnawezaje Kuishi Single bila Kuanguka Dhambini?

Sio binti lakini nakupa ushauri

Funga sana....yaani leo kula kesho funga masaa 12 bila ya kula (asubuhi mpk jioni) kesho kutwa kula, mtondo goo funga tena....

Tamaa zote asili yake ni tumbo...ukilipa njaa tumbo basi matanio hupungua kwa kiwango kikubwa sana. Ukiliachia tumbo basi jua huwezi kuzuia matamanio hata kama ukikesha kwa maombi.

NB
Kufunga (fasting) ni kujizuia kula na kunywa
 
Thanks mkuu!
 
Back
Top Bottom