sepema
JF-Expert Member
- Jun 13, 2019
- 591
- 1,001
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asante San mkuu.Nimependa Ushauri wako.Leo nitaenda nipate1 ila changamoto nikwamba nikirudi home nitamkuta huyo aliyenivuruga kichwa.sepema pole sana rafiki , fanya hivi ondoka walipo watu kakae mwenyewe na ufanye kile ambacho uwa unakipenda sana mfano kama unakunywa pombe agiza hata bia moja unywe huku unawaza mambo ya maendeleo juu ya maisha yako
Baada ya muda hasira zitaisha na utakuwa kawaida baada ya hapo sasa ni muda wa kuwasamehe wote waliosababisha hasira either kwa kuapa kutolipa kisasi au kuwaface .Kwa hayo utakuwa umeregain katika hali yako ya kawaida.
Ushauri tu [emoji120][emoji120][emoji120]
TEKERI.
Kwa hali uliyofikia ondoka mazingira ya home nenda mbali kashangae mji mengine mengi halafu urudi home baade KabisaKwa jinsi nilivyo Leo naona hata mtoto akisogea karibu yng ananiongezea hasira.Any ways,ngoja nijaribu kuwaita huko nje walipo
Mkuu unampenda mtoa uzi balaa hadi wivuKata kichwa kiweke pembeni alafu unakiangalia kwa dharau
Daaaaaah! Mkuu Kama una kituo Cha unasihi gawa mawasiliano. Umenipa maneno machache yaliyobeba kila aina ya encouragement.Pole mkuu. Chukua kioo, jitazame, je unaweza kuona kisogo chako? Kama haiwezekani basi sahau kila kitu. Mwanadamu anatakiwa kufocus mbele TU, nyuma sio salama.
Samehe uwe huru, hata kama aliekukosea aondoke maishani mwako, don't bother thinking back. Maisha yenyewe mafupi haya, yeye ni nani akunyime raha mkuu...
Mimi natafuta piss Kali. Ule moto nitampelekea unakuwa wa hatari. Nikishapiga risasi kadhaa nakuwa sawa kabisa na Tena nikipata bia ya bariiiiidi.Amani iwe nanyi.
Naomba tu mnisaidie kwani sijielewi hata kidogo. Nipo kwenye kiwango cha juu cha hasira iliyochanganyika na mvurugo wa akili. Chanzo ni mambo na changamoto za kimaisha.
Sasa nyie mnafanyaje kuwa sawa pindi mnapokutana na hali kama hii?
Pengine mbinu unayotumia itanisaidia na mimi.
Wasalaam!
Toa na mifano basi.Tafuta kitu cha kuuchosha mwili
Nilisema jaribu kupata nyapu wiki hii utakuwa mwepesiNilijaribu Jana Ila nimeamka leo vibaya zaidi ya jana