Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapana mkuu, sema misala imenikomaza. Nimekuwa gaidi mbobezi wa changamoto za maisha. So naona kila kitu kawaida tuu. Nikipata challenge yoyote najifikiria mimi kwanza.Daaaaaah!mkuu Kama unakituo Cha unasihi gawa mawasiliano.Umenipa maneno machache yaliyobeba kila aina ya encouragement.
Binafsi huwa najiuliza maswali, mfano hili lisingetokea ningekuwa kwenye hali gani kwa wakati huo?Amani iwe nanyi.
Naomba tu mnisaidie kwani sijielewi hata kidogo. Nipo kwenye kiwango cha juu cha hasira iliyochanganyika na mvurugo wa akili. Chanzo ni mambo na changamoto za kimaisha.
Sasa nyie mnafanyaje kuwa sawa pindi mnapokutana na hali kama hii?
Pengine mbinu unayotumia itanisaidia na mimi.
Wasalaam!
Karibu gym gonga ngumi kwenye purching cover toa nyama uzembe piga kazi kwa hasira, nunua pamba Kali pendeza enjoy
Usisahau formula kuwa player is must wanawake wanashoboka htr na ukimwi upo kila la kheli, that is my life.
[emoji23]Hapana mkuu, sema misala imenikomaza. Nimekuwa gaidi mbobezi wa changamoto za maisha. So naona kila kitu kawaida tuu. Nikipata challenge yyte najifikiria mimi kwanza.
Naamini maisha ni changamoto, matatizo tumeumbiwa wanadam na suluhu ni kutatua na ku-move on, tatizo liishe nawe uendelee kuishi.
Maisha matam sana aisee, hebu fikiria dona kwa dagaa plus mtindi vilivyo vitamu...
Mbinu yako ni nzuri. Naamini itanisaidia pia.Binafsi huwa najiuliza maswali, mfano hili lisingetokea ningekuwa kwenye hali gani kwa wakati huo?
Kama ni mtu amesababisha, je asingekuwepo kwenye maisha yangu ningekuwa katika hali gani?
Then naanza kumeditate hiyo hali ambayo ningependa kuwa nayo.
Lakini pia huwa naamini kama jambo limetokea nje ya uwezo wangu, basi lina kusudi maalum. Naendelea na maisha!
Kumbuka:, vitu, watu au hali za maisha visiwe kikwazo cha furaha yako!
Piga game brazaMke yupo Ila ndo chanzo Cha hizi hasira zng
Sasa ngoja nikushauri kama wewe ni mpenzi wa muvi ... piga kitu chako cha arusha then shushia na kuangalia bonge moja la muvi inaitwa KISS AND KILL ... angalizo hakikisha ndumu inakukolea utakuja nishukuruMi nikiwa na hasira nasokota msokoto mmoja wa ndumu, kisha naangalia series ya Snowfall Season 1 mpaka 5 nikimaliza hapo hasira zote zimeisha
Aggrrhhh mkuu unafeli mbususu zimejaa ivi town fb uko yani mi nikiingia fb sikosi demu ntafeli tu akiwa mkoa wa mbali. Mwanaume inabidi uwe na mwanamke zaidi ya mmoja.Sasa mkuu aliyenikasirisha ndo mwenye kumiliki hiyo mbususu.Naichakataje sasa
Akishazingatia hayo atagundua ni eneo gani alikuwa anapoteza, na hili kama hauko makini unaweza kufikiri umelogwa kumbe wewe mwenyewe ndio unajiloga kwa kuendekeza tabia mbofu mbofu, Tabia tabia tabia!Sasa mwambie ajipongeze na nini...umemuacha juu juu
Huyo aliye leta Heineken pepo atapasikia tu maana hata unywe kreti zima baada ya pombe kwisha kichwani tabu ipo pale pale zaidi sana umepoteza pesa yako bure, kwanza nikinywa bia naumwa kichwa balaa na kulala nashindwa kabisa.