Wenzangu mkiwa na hasira au kuvurugwa kichwa mnafanyaje ili mkae sawa?

Wenzangu mkiwa na hasira au kuvurugwa kichwa mnafanyaje ili mkae sawa?

Amani iwe nanyi.

Naomba tu mnisaidie kwani sijielewi hata kidogo. Nipo kwenye kiwango cha juu cha hasira iliyochanganyika na mvurugo wa akili. Chanzo ni mambo na changamoto za kimaisha.

Sasa nyie mnafanyaje kuwa sawa pindi mnapokutana na hali kama hii?

Pengine mbinu unayotumia itanisaidia na mimi.

Wasalaam!
Mwanaume hasuluhishwi kabla ya kupigana, pigana kwanza kupunguza hasira kisha pata suluhu.
 
Back
Top Bottom