Tafuta kitu cha kuuchosha mwili
Toa na mifano basi.
Mfano piga nyeto hata goli sita yaan hadi uhisi unatokw damu!
sorry waungwana eti hata bao za nyeto zinaitwa goli?(natania bro) ila utakuwa angalau umecheka eti??
Ukweli ndugu maisha yamejaa stress,
Kuna ndugu kwa muda huu kakamatwa sero/mahabusu anatakiwa ndugu/jamaa amdhamini ila hamuoni!
Kuna mwingine kahukumiwa miaka 30 aishi gerezani mbali na ndugu/jamaa zake.
Huyu mwingine kaenda hosp wanamwambia gharama za matibabu ni 150,000/- wakati alienda na 5500(malipo na nauli) akiamini hata chenji itabaki.
Yule kodi ya pango imeisha na ashapewa onyo mwezi uliopita asirudie kuchelewesha malipo.
Huyu kakopa nauli kaenda kufuatilia madai yake,wanamwambia mtandao upo chini,rudi baada ya mwezi.
Daa,yule kafiwa na mtu wake aliyekuwa akimshika mkono mjini.
Huyu gari lake limepata ajali likiwa na mzigo mkubwa na kuna hadi pesa ya mkopo wa benki.
Orodha ni ndefu,nikutajie majirani wangu wengine wenye shida zaidi yako?? Hapana!
Tunaishi,huu ni mchezo'mchezo wa maisha' tuucheze basi mpaka sakika 90 ziishe!!