Sasa mwambie ajipongeze na nini...umemuacha juu juuTabia ulizo nazo ndizo zinachangia hasira, chunguza vyakula unavyokula,mazungumzo ambayo unayashiriki mara nyingi huko ndio kunatokea hayo, mabishano yasiyo na maana, mahusiano yasiyo na utulivu kila wakati wewe unakua ndio msuluhishi wa vitu vidogo vidogo, punguza matumizi ya pombe, sigara na kahawa pia jaribu kuwasamehe watu waliokukosea kwa maneno au vitendo, jisamehe wewe mwenyewe kwa kushindwa kutekeleza baadhi ya malengo yako, zingatia muda wa kulala, pumzika/ lala masaa 7/8.
Hapo napo matatizo ni mengi japo yanayosababisha hasira nayo ni janga lingine.Toa na mifano basi.
Mfano piga nyeto hata goli sita yaan hadi uhisi unatokw damu!
sorry waungwana eti hata bao za nyeto zinaitwa goli?(natania bro) ila utakuwa angalau umecheka eti??
Ukweli ndugu maisha yamejaa stress,
Kuna ndugu kwa muda huu kakamatwa sero/mahabusu anatakiwa ndugu/jamaa amdhamini ila hamuoni!
Kuna mwingine kahukumiwa miaka 30 aishi gerezani mbali na ndugu/jamaa zake.
Huyu mwingine kaenda hosp wanamwambia gharama za matibabu ni 150,000/- wakati alienda na 5500(malipo na nauli) akiamini hata chenji itabaki.
Yule kodi ya pango imeisha na ashapewa onyo mwezi uliopita asirudie kuchelewesha malipo.
Huyu kakopa nauli kaenda kufuatilia madai yake,wanamwambia mtandao upo chini,rudi baada ya mwezi.
Daa,yule kafiwa na mtu wake aliyekuwa akimshika mkono mjini.
Huyu gari lake limepata ajali likiwa na mzigo mkubwa na kuna hadi pesa ya mkopo wa benki.
Orodha ni ndefu,nikutajie majirani wangu wengine wenye shida zaidi yako?? Hapana!
Tunaishi,huu ni mchezo'mchezo wa maisha' tuucheze basi mpaka sakika 90 ziishe!!
Nalazimisha ubongo kupuuzia adha na kuingiza mambo mengine ktk ubongo yatakayosawazisha akili yangu.Amani iwe nanyi.
Naomba tu mnisaidie kwani sijielewi hata kidogo. Nipo kwenye kiwango cha juu cha hasira iliyochanganyika na mvurugo wa akili. Chanzo ni mambo na changamoto za kimaisha.
Sasa nyie mnafanyaje kuwa sawa pindi mnapokutana na hali kama hii?
Pengine mbinu unayotumia itanisaidia na mimi.
Wasalaam!
Huyo aliye leta Heineken pepo atapasikia tu maana hata unywe kreti zima baada ya pombe kwisha kichwani tabu ipo pale pale zaidi sana umepoteza pes yako bure, kwanz nikinywa bia naumwa kichwa balaa na kulala nashindwa kabisa.
Hao wasiokunywa wamejenga nini?Ni kweli,pombe haijawahi kuwa sehemu ya kujenga
Huwa nawashangaa watumiaji
Logic yangu ni pombe haitoi stressHao wasiokunywa wamejenga nini?
#YNWA
Punguza kuzisemea bia ujinga..!!!!
#YNWA
Ukiwa mtu wa kumaindi vitu vya kijinga kiasi hiki utatupa wasiwasi uwezo wako wa kuhimili mambo ya msingi ... na siyo kila hoja hapa ni yakupingwa hapa tunajaribu kumsaidia ndugu yetu ili apunguze mawazo... au kubishana na kupiga kila kitu ni asiliyako mkuu.... mawazo huruPunguza kuzisemea bia ujinga..!!!!
#YNWA
True... kuna watu wana visirani vya kuzaliwaLogic yangu ni pombe haitoi stress
Kama...?Tafuta kitu cha kuuchosha mwili
Kama...?
True ...kuna watu wana visirani vyakuzaliwa
Nakunywa pombe tokea Niko form 5 mpaka leo.Ukiwa mtu wa kumaindi vitu vya kijinga kiasi hki utatupa wasiwasi uwezo wako wa kuhimili mambo ya msingi ... na siyo kila hoja hapa ni yakupingwa hapa tunajaribu kumsaidia ndugu yetu ili apunguze mawazo ... au kubishana na kupiga kila kitu ni asiliyako mkuu.... mawazo huru