Wenzangu mnaombaje mpaka maombi yenu yanajibiwa?

Bunchari

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2017
Posts
558
Reaction score
661
Habari ndugu zangu

Naomba kuelekezwa namna ya kuomba maombi yangu yakajibiwa,kama kusali nasali sana,kufunga nafunga sana,kutoa sadaka natoa ila maisha yangu yameandamwa na magonjwa ya ajabu,kutofanikiwa na kukosa kazi

Sasa wapi ninakosea au mimi sijui kuomba ndugu zangu,kwani ninyi mnafanyaje?

Asanteni
 
Swali zuri, omba bila kuchoka, na uamini kile unachokiomba kimekua chako
 
Habari ndugu zangu

Naomba kuelekezwa namna ya kuomba maombi yangu yakajibiwa,kama kusali nasali sana,kufunga nafunga sana,kutoa sadaka natoa ila maisha yangu yameandamwa na magonjwa ya ajabu,kutofanikiwa na kukosa kazi

Sasa wapi ninakosea au mimi sijui kuomba ndugu zangu,kwani ninyi mnafanyaje?

Asanteni
Warumi 10:1.....
Soma yote ikikupendeza
 
Biblia unasoma? Sio kusoma tu unasoma neno kulishika?
Yoshua 1:8

Yoshua 1:8
Kitabu hiki cha torati kisiondoke kinywani mwako, bali yatafakari maneno yake mchana na usiku, upate kuangalia kutenda sawasawa na maneno yote yaliyoandikwa humo; maana ndipo utakapoifanikisha njia yako, kisha ndipo utakapositawi sana.

Kuwa mkristo kwenda kuombewa kanisani bila kusoma biblia bado hauwezi kutatua shida zako ni sawa na mwanafunzi anayeudhuria masomo darasani kila siku lakini Hana muda wakujisomea nyumbani huku akitegemea ataingia chumba Cha mtihani na kufaulu hiyo never haijawahi kutokea imeandikwa mnitafute kwa bidii mtaniona

Kitu kingine baraka huwa hazitafutwi ukiwa umejazwa Roho Mtakatifu Mungu huwa anaachilia baraka kabla hata haujaanza kufanya jambo unakuwa na majibu Mungu anakuwa ameshakubariki unajua unachoenda kukifanya

Waefeso 1:3
Atukuzwe Mungu, Baba wa Bwana wetu Yesu Kristo, aliyetubariki kwa baraka zote za rohoni, katika ulimwengu wa roho, ndani yake Kristo;

Soma matendo 2:1-16
Soma yote hiyo mistari na ushike amka usiku saa kumi kusoma tena nakuomba Mungu akujaze Roho Mtakatifu hapo ndio Katoe sadaka utaona Mungu anavyofungua malango yako sasa
 
Habari ndugu zangu

Naomba kuelekezwa namna ya kuomba maombi yangu yakajibiwa,kama kusali nasali sana,kufunga nafunga sana,kutoa sadaka natoa ila maisha yangu yameandamwa na magonjwa ya ajabu,kutofanikiwa na kukosa kazi

Sasa wapi ninakosea au mimi sijui kuomba ndugu zangu,kwani ninyi mnafanyaje?

Asanteni
Warumi 10:1.....
Soma yote ikipendeza
 
Habari ndugu zangu

Naomba kuelekezwa namna ya kuomba maombi yangu yakajibiwa,kama kusali nasali sana,kufunga nafunga sana,kutoa sadaka natoa ila maisha yangu yameandamwa na magonjwa ya ajabu,kutofanikiwa na kukosa kazi

Sasa wapi ninakosea au mimi sijui kuomba ndugu zangu,kwani ninyi mnafanyaje?

Asanteni
Mungu hujibu maombi kwa wakati wake hachelewi wala hawahi.. Kwakuwa siku moja kwake ni kama siku 1000 kwa mwanadamu na kinyume chake
 
Maombi kujibiwa waombee wengine,usijiombee wewe.
 
Back
Top Bottom