Wenzangu mnaombaje mpaka maombi yenu yanajibiwa?

Habari ndugu zangu

Naomba kuelekezwa namna ya kuomba maombi yangu yakajibiwa,kama kusali nasali sana,kufunga nafunga sana,kutoa sadaka natoa ila maisha yangu yameandamwa na magonjwa ya ajabu,kutofanikiwa na kukosa kazi

Sasa wapi ninakosea au mimi sijui kuomba ndugu zangu,kwani ninyi mnafanyaje?

Asanteni
Mungu hujibu maombi kwa wakati wake hachelewi wala hawahu
Habari ndugu zangu

Naomba kuelekezwa namna ya kuomba maombi yangu yakajibiwa,kama kusali nasali sana,kufunga nafunga sana,kutoa sadaka natoa ila maisha yangu yameandamwa na magonjwa ya ajabu,kutofanikiwa na kukosa kazi

Sasa wapi ninakosea au mimi sijui kuomba ndugu zangu,kwani ninyi mnafanyaje?

Asanteni
Soma hii itakusaidia sana

Thread 'Miaka ya neema, miaka ya uharibifu' Miaka ya neema, miaka ya uharibifu
 
Endelea kujifunza kanuni za Mungu utajibiwa hata usipofunga.
Mungu yupo na anajibu kwa wakati tunaohitaji. Tukifuata kanuni zake hujibu kwa wakati tunaohitaji, na mara chache hujibu hata kama kanuni hazikufuatwa, maana Mungu hana upendeleo na ana upendo mkuu.
 
Habari ndugu zangu

Naomba kuelekezwa namna ya kuomba maombi yangu yakajibiwa,kama kusali nasali sana,kufunga nafunga sana,kutoa sadaka natoa ila maisha yangu yameandamwa na magonjwa ya ajabu,kutofanikiwa na kukosa kazi

Sasa wapi ninakosea au mimi sijui kuomba ndugu zangu,kwani ninyi mnafanyaje?

Asanteni
In the jungle of life, Salvation is largely on your hands, There is no God who is there to help you.

You are responsible to think and reason properly to solve your own problems in life for you.
 
Acheni u omba omba fanyeni kazi MUNGU wenu ni kiumbe gaidi tena kisicho na huruma kwa watu ambao wamekazana na maombi bila kuweka plan na vitendo kwenye maisha yao.
Hali ni mbaya huku mtaani namna pekee ya kutusua ni kupambana na kuepuka tabia hatarishi ambazo zinaweza kukutumbukiza kwenye majanga ya kijinga
 
Habari ndugu zangu

Naomba kuelekezwa namna ya kuomba maombi yangu yakajibiwa,kama kusali nasali sana,kufunga nafunga sana,kutoa sadaka natoa ila maisha yangu yameandamwa na magonjwa ya ajabu,kutofanikiwa na kukosa kazi

Sasa wapi ninakosea au mimi sijui kuomba ndugu zangu,kwani ninyi mnafanyaje?

Asanteni
Tunaomba kwa Imani isiyo na shaka. Yaani unamwomba Mungu huku ukiamini umeshapata na ukisema AMINA inakuwa hivyo
 
Habari ndugu zangu

Naomba kuelekezwa namna ya kuomba maombi yangu yakajibiwa,kama kusali nasali sana,kufunga nafunga sana,kutoa sadaka natoa ila maisha yangu yameandamwa na magonjwa ya ajabu,kutofanikiwa na kukosa kazi

Sasa wapi ninakosea au mimi sijui kuomba ndugu zangu,kwani ninyi mnafanyaje?

Asanteni
Iko hivi mtu wa Mungu,wewe ni mmoja ya wale wanaofikiria kuwa watu wenye pesa na mali,majumba na kazi nzuri,pamoja na uzima wa afya ni watu waliobarikiwa na Mungu,ukiona unapitia magumu na unamuomba Mungu huku unaishi maisha ya haki na kweli,juwa kuwa Mungu amekukubali,anachokifanya ni kutaka kuhakikisha kuwa uko serious au ukikutana na majaribu utamuacha,usiwazie sana haya maisha ya hapa duniani,wazia kule mbinguni unakotakiwa kwenda,simama imara na huo msimamo wako,hivyo unavowazia sana na kuumiza kichwa ni vya hapa duniani na kila mtu ataviacha,huo ugonjwa pia utapita,wakati wa Mungu ndio wakati sahihi,usikate tamaa,inawezekana kabisa uko karibu kabisa na kuifikia baraka yako lkn shetani anataka kukukatisha tamaa...
 
Mkuu usichoke kuomba pia ukiweza amka usiku uombe kwa kile unachokusudia kuomba na uishi katika maombi yako na pia ukifanikiwa usiache kushukuru na kuendelea kuomba pia.
 
Habari ndugu zangu

Naomba kuelekezwa namna ya kuomba maombi yangu yakajibiwa,kama kusali nasali sana,kufunga nafunga sana,kutoa sadaka natoa ila maisha yangu yameandamwa na magonjwa ya ajabu,kutofanikiwa na kukosa kazi

Sasa wapi ninakosea au mimi sijui kuomba ndugu zangu,kwani ninyi mnafanyaje?

Asanteni
Kuomba ni kujifariji tu, kwanza unamuomba nani?

Mungu? Mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote?

Kama yupo, kwa nini umuombe? Ina maana hajui matatizo yako?

Huoni kwamba kitendo cha kumuomba huyo Mungu ni uthibitisho kwamba huyo Mungu hayupo, na angekuwepo usingehitaji kumuomba, angekupa unachotaka kabla hujajua unakihitaji, na kile ambacho si kizuri kwako hata usingekitaka?

Huoni kwamba kumuomba Mungu ni uthibitisho kwamba Mungu hayupo?
 
Back
Top Bottom