issac77
JF-Expert Member
- Apr 26, 2013
- 4,128
- 7,899
Kanuni yangu ni hii hapa Huwa natoa msaada pale moyo wangu umenigusa Tena kiroho safi, naogea maji ya chumvi mixer na marashi rose mara Moja Moja asubuhi kundoa negative energies, naijari familia yangu yani hicho ni kipaumbele namba Moja kwangu, natake risk kwenye michongo yangu yani silazi damu likiza suala la ridhiki mkono uende kinywani.... Japo changamoto zipo lakini kufail ni mala Moja Moja maisha yanasonga si haba, usidhurumu Cha mtu,, acha wao wakudhurum usiweke kisasi kwamba nimedhurumiwa sehem Wacha nimtafute na Mimi mnyonge wangu nitaripiza( which goes around comes arounds), jifunze ulipokesea sahihisha makosa Yako usirudie makosa Tena songa mbele, jali afya Yako acha ngono nzembe si dili., Nje ya madhara ya kimwili pia inanamadhara makubwa sana kiroho, acha matumizi ya pombe kupindukia n.k... zingatia kwanza haya machache kwa Leo mkuu!